Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!
Uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kujihusisha na ukristo,ndiyo maana Muhammad anatafutwa kwenye Biblia japo hapatikani, Mecca inatafutwa kwenye Biblia kwa manati japo haipatikani.
 
Wrong...

huwa wanaachiwa wengi tu. Fuatilia wakati wa misamaha, wako Youtube wengi tu wanahojiwa, wanasema walihukumiwa kifo in the 70s and 80s Nyerere na Mwinyi waka commute their death sentences to life. Wanatumikia life sentence mwishowe wanaachiwa mazima.

KInachoudhi ni kwamba waandishi uchwara wa Youtube TV wanaowahoji siku zote wana sympathize nao bila kutupa the other side of the story ya unyama wao. Haiwezekani death row convicts wote wakawa walibambikwa kesi.
Sawa kiongozi asante kwa kuniongezea uelewa.
 
Habari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Sasa wafiche ili iweje mbona Viongozi wengine wa dini mbalimbali wakitenda maovu na hukumiwa hawafichi nyazma zao.Kwahiyo kama imekuuma nenda
 
kesi ya kuua sio kesi ya kuiba kuku au kumtukana mtu kaka watu wamekaa chini wakaaumiza vichwa na mahakama ipo kusikiliza pande zote ndo maana hata ukienda polisi mtuhumiwa mwenye akili anakwambia maelezo yangu nitayatoa mahakamani 🤔 🤔
Hii kesi ingefanywa kama ile ya Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kuletewa yanayojiri mahakamani, watu wasingekuwa na mitazamo waliyonayo sasa. Tungejua mbivu na mbichi.
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Nenda kawakatie rufaa acha kuandika mambo ya alinacha humu. Usilete ushabiki wa kidini hapa. Ulitaka wafe watu wangapi ndipo waonekane wana hatia?
 
Mtu umetulia zako na Mungu wako shida iko wapi? Yaani mwenzako kuabudu kwake wewe kinakuuma mpaka unaona ulipue kanisa cha ajabu sio mmoja ni kundi ambalo zaili walikaa vikao kuratibu unyama huu kibaya zaidi viongozi wa juu ukiliona li jitu limechafuka sura kwa ndevu kumbe ligaid la kutisha
 
Na iwe fundisho Kwa wengine wanaopenda kuona damu za watu zikimwagika.Hongera serikali,hongera mahakama.
 
Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!

PAPA AKIRASIMISHA USHOGA KWANGU MIMI HAINA EFFECT YOYOTE,HAINIONGEZEI WALA KUNIPUNGUZIA

WAPO MAASKOFU NA MAPADRE WENGI TUH AMBAO WANA SADIKI KUWA MUHAMMAD SIYO MTUME WA MUNGU,LABDA KAMA WEWE HUWAJUI AU HUJAWASKIA

UUNGU WA YESU KRISTU HAUNA ATHARI YOYOTE KWANGU MUISLAM,KWA KUWA NYINYI MNA MUNGU WENU,NA SISI TUNA MUNGU WETU.

SISI TUNAPRACTICE IMANI YETU KWA AMANI KABISA,NA WALA HATUNA SHIDA NA MTU,NA TUNAHESHIMU IMAN ZA WATU WENGINE KULIKO DHEHEBU LOLOTE LILE DUNIANI,NI PROPGANDA NA HILA ZA DUNIA KUTAKA KUUPAKA MATOPE UISLAM BY GIVING THE DOG A BAD NAME FOR JUSTIFICATION TO KILL...

IMANI YANGU IMEKUWA INASTAWI TOKEA ZAMA NA ZAMA BILA KUGASI IMANI ZINGINE TATIZO IMANI ZINGINE ZINAONA IMANI HII NI THREA KWAO KUSTAWI KWA SABABU ZIFUATAZO.

1.INAPINGA VITA DHULMA
2.INAPINGA ZINAA,USHOGA,ULAWITI NA KADHALIKA
3.INAPINGA RIBA WAZI WAZI.
4.INAPINGA POMBE NA KAMARI WAZI WAZI.
5.INAPINGA MAUAJI YASIYO NA HATIA KWA KILA KIUMBE HAI.
6.INAPINGA ABORTION NA USHIKIRINA WAZI WAZI,JAPO KWA UCHACHE HAYO NILIYOKUELEZA,HUWEZI UKAKUTA IMANI KAMA HIYO IKAACHWA ISTAWI ULIMWENGUNI.
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kuchoma mazao shambani au ghala la chakula,kuchoma nyumba au jengo wanaloishi au kuingia watu wakati wowote ni dhamira ya mauaji.

Sikumbuki ni kifungu gani,ila pitia pitia kwenye makabrasha utaona adhabu zake,kama yule dogo wa miaka 11,aliyehukumiwa maisha na wenzake watu wazima 4 kwa kosa la kuchoma kituo cha polisi chenye mahabusu.
Kwa mihemko hii hii ya takbir.
 
PAPA AKIRASIMISHA USHOGA KWANGU MIMI HAINA EFFECT YOYOTE,HAINIONGEZEI WALA KUNIPUNGUZIA

WAPO MAASKOFU NA MAPADRE WENGI TUH AMBAO WANA SADIKI KUWA MUHAMMAD SIYO MTUME WA MUNGU,LABDA KAMA WEWE HUWAJUI AU HUJAWASKIA

UUNGU WA YESU KRISTU HAUNA ATHARI YOYOTE KWANGU MUISLAM,KWA KUWA NYINYI MNA MUNGU WENU,NA SISI TUNA MUNGU WETU.

SISI TUNAPRACTICE IMANI YETU KWA AMANI KABISA,NA WALA HATUNA SHIDA NA MTU,NA TUNAHESHIMU IMAN ZA WATU WENGINE KULIKO DHEHEBU LOLOTE LILE DUNIANI,NI PROPGANDA NA HILA ZA DUNIA KUTAKA KUUPAKA MATOPE UISLAM BY GIVING THE DOG A BAD NAME FOR JUSTIFICATION TO KILL...

IMANI YANGU IMEKUWA INASTAWI TOKEA ZAMA NA ZAMA BILA KUGASI IMANI ZINGINE TATIZO IMANI ZINGINE ZINAONA IMANI HII NI THREA KWAO KUSTAWI KWA SABABU ZIFUATAZO.

1.INAPINGA VITA DHULMA
2.INAPINGA ZINAA,USHOGA,ULAWITI NA KADHALIKA
3.INAPINGA RIBA WAZI WAZI.
4.INAPINGA POMBE NA KAMARI WAZI WAZI.
5.INAPINGA MAUAJI YASIYO NA HATIA KWA KILA KIUMBE HAI.
6.INAPINGA ABORTION NA USHIKIRINA WAZI WAZI,JAPO KWA UCHACHE HAYO NILIYOKUELEZA,HUWEZI UKAKUTA IMANI KAMA HIYO IKAACHWA ISTAWI ULIMWENGUNI.
Kwa maoni yako nanuelewa wako hayo uliyoyataja yamo kwenye Ukristu na Imani ya kikristu haifai kuachwa ienee duniani?

Kwamba Imani zingine zinaiona imani yako ni threat kwao ndo maana wanaripua.makanisa na kuchinja watu?
Kwa nini imani yako tu ndo ipewe jina baya wasipewe wahindu,wabudha,wakristu,mayahudi na imani zingine?Kwa sababu ni threat kwa dini nilizozitaja hapo juu inapinga vita,dhulma,ushoga,zinaa,mauaji,pombe na kadhalika. Vipi hizi dini nyingine haziyatambui hayo kama dhambi kasoro nyie tuu?
 
Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Ukifanya uhaini hata bila kuua mtu, adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa. Usikariri eti kuwa adhabu ya kifo ni hadi uue mtu
 
Kulipua jengo la kanisa ni uhaini? Au hujui uhauni ni nini?
Umekurupuka. Wewe si umeuliza idadi ya waliokufa kutokana na mlipuko? Nimekutolea mfano wa uhaini kuwa si lazima uue ndio uadhibiwe kifo. Kuna makosa ukifanya hata bila kuua, adhabu yake ni kifo, nikatoa mfano wa uhaini, ukaubeba kama ulivyo! Communication inahitaji elimu
 
Mkuu kuhusudia kuua na kuua sio kitu kimoja na adhabu yake haiwezi kua moja.
 
Back
Top Bottom