Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

NICE COMMENT FROM YOU,NIMEIPENDA SANA...

I WILL PUT THIS ALL IN THE SHORTEST TERM KNOWN TO ME,KITU KIZURI NDIYO DAIMA HUPIGWA VITA...

LINI UKRISTO UMEKUWA IMARA KUPINGA KAMARI??LIN UKRISTO NA IMAN ZINGINE ZIMEKUWA IMARA KUPINGA RIBA,POMBE NA ZINAAA NA KADHALIKA??

UISLAM UKIINGIA UKAWEKA SHARIA LAZIMA HIVYO VITU VIPOTEE,NANI ATAKUBALI SUALA HILO??
Gaidi lingine hili zoba. Kule Zanzibar Uislamu umefanya Nini?
 
Kulipua jengo la kanisa ni uhaini? Au hujui uhauni ni nini?
Hiyo kesi inaangukia kesi za ugaidi

Siasa Kali hawatakiwi kuishia na binadamu wengine wanatakiwa kwenda kuishi na wanyama pori huko waliwahi mtandika Hadi vibao Raisi Mwinyi akiwa Raisi kwenye kongamano la Waislamu Diamond Jubilee

Mwinyi siku zote alisisitiza kuwa Mungu hajaruhusu binadamu achague jirani yake kiwanja chake au shamba awe nani uwezo huo hajampa binadamu akisistiza uvumilivu dhidi ya makabila na Imani tofauti

Lakini waislamu siasa Kali huamini kuwa hawatakiwi kuwa na jirani kafiri iwe mtu au kanisa ndio maana nasema sehemu pekee wanayotakiwa kuishia sio na binadamu wengine wahamishiwe porini Serengeti huko wakaishi na wanyama pori sababu hawajui kuishi na binadamu wengine wa.imani tofauti wakishindwa kupata hata watu wa kuoa au kuolewa nao wakaoe na kuolewa na wanyama pori wakaanzishe kizazi Cha wanyama pori huko Dunia ibaki tu na waislamu moderate kama wa Bakwata nk hao wengine Answar Sunna wahamishiwe Mbugani Serengeti huko
 
we k
Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?
Lini umemsikia Padre au Pastor akisema Muhammad siyo mtume wa Mwenyezi Mungu japo ukristu haumtambui?
Uungu wa Yesu kwa wakristu una athari gani kwa uislam?
Kwa nini msipractice dini yenu kwa amani huku mkiheshimu imani za watu wengine na haki zao za kuishi?
Ina maana dini yako haiwezi kustawi bila kishambulia imani za wengine!
we kweli kichwamchunga.
Ni sawa na useme "kwani Polisi hawawezi Kufanya mambo Yao mpaka wawabughudhi vibaka na majambazi? wao si wafanye mambo Yao na vibaka na majambazi wafanye shughuli zao? "
 
Umefuatilia msamaha wa Rais juzi kwenye maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru ?
Rais alitoa msamaha kwa wafungwa 263 ambao waliachiwa huru
Wafungwa wawili waliohumukumiwa kifo walibadirishiwa adhabu na kuwa kifungo cha maisha jela. Na wafungwa 1979 walipunguziwa adhabu.
Unasemaje Rais hana mamlaka ya kumbadilishia mfungwa adhabu ?
mfano Nguza mbangu na wenawe walikuwa wanatumikia kifungo Cha maisha lakini wakaachiwa kwa msamaha wa Rais
 
Huyu alikuwa akiwa anaenda kuonyesha silaha akataka kuwapiga Jeet Kune Do maaskari.
hekaya za Abunuwasi hizo,aliuawa mchana kweupe
kisingizio kikawa hicho
geresha za kitoto hizo
ile ilikuwa extra-judicial killing
 
Hanyongwi mtu hapo, katazame video clip post namba 33.

Wacha papara.
Adhabu ya kunyongwa ipo na inatekelezwa na Rais anasain vizuri
Wanasiasa huwa wanaongopa kwa watanganyika eti hawasaini hii adhabu kutekelezwa
Hii adhabu itatekelezwa wala hutaambiwa au hutaona popote lakini hao mabwana hawataonekana tena
 
Mbona nimeona kwamba wameachiwa wote ushahidi haujawatia hatiani.
Somebody clarify this please.

Tatizo la waislamu wale answar sunni/wahabbi ni wapumbavu sana. Extremism inawasumbua.
 
Chamsingi wametuonesha njia, na mbegu waliyopanda haitapotea Bure daima. Amin

Mashujaa nyuma ya Keyboard mnachekeshaga sana[emoji28] hapo usikute upo kwa shemeji yako unasubiri arudi na mboga Dada yako apike mle
 
Hao jamhuri ndo imewahukumu Sasa sijui ni lini jamhuri inataonja umauti
Kwamba jamhuri sio viumbe hai?
Au jamhuri haitengenezwi na binadamu.

Sipo kwnye kulaumu jamhuri wala kulaumu mtu,
Nipo kwenye kukumbusha kwamba kila nafsi itaonja umauti..

Waliolipuwa wenzao watanyongwa ,na hata waliowahukumu wenzao kunyongwa na wao watakufa,,.

Kifo ni chetu wote,, wala sio cha kushangilia mwenzio akinyongwa wala mwenzio akipata umauti..
 
Back
Top Bottom