Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wsmeonea, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa
Ni ushabiki au unaongelea Sheria ?
Kama ni Sheria na wametiwa hatiani wametendewa haki. Maana kulipua Kanisa au kuchoma nyumba au Jengo ambalo watu wanakaa na kuishi maana yake umekusudia kuua watu na kuharibu mali za watu kwenye nyumba au Kanisa hilo.
Adhabu yake ni kifo.
 
Ndiyo,nilipata High Court Arusha jana jioni,nikamuona yule mama analia( amevaa bai bui),nikauliza analia nini?
Nikaambiwa( na machinga mmoja alikuwepo pale,"Oh,hii ni mahakama. Kama analia itakuwa basi labda mtoto wake amehukumiwa kifungo or something. Unajua,kina mama wana huruma sana"
Halafu nikaondoka pale. Ilielekea kwangu kwamba wahudumu pale mahakamani,wale walinzi, hawakuonyeshwa kupendezewa kwamba nimeuliza.
Ni kama Roman law. Kama mhalifu amehukumiwa,unaruhusiwa kushangilia,lakini hairuhusiwi kuonekana kwamba unaona huruma.
Halafu yule mama akaambiwa,unaweza kwenda ndani kuwatazama,lakini ukifike kule usilie.
Halafu akaja mtu mwingine akasema,no,hawezi kwenda ndani,Askari wanafukuza watu wore.
Ile incident ya zamani sana.
Halafu ni incident gani ugaidi oliyotokea Arusha siku zole ambapo Chadema walitajwatajwa. Ambapo satellite pictures ilidaiwa zimeonyesha Chadema wamefanya jambo fulani.?
Now I understand. Kumbe Chadema ndio walifanyiwa ugaidi Kaloleni
Halafu Mufti wa Waislamu ameitisha sala Ijumaa ijayo.

Msikilize Commander Hatton
He was killed in similar manner to T.E. Laurence “of Arabia” (who crossed swords with the British elite who betrayed the trust of the Arab world and now their deserts are a hotbed of war and great poverty--surrounded by oases of British agents posing as Emirs and reigning princes-
 
Hawa waliua muimba kwaya kwa bomb la kurushwa kwa mkono. Watu kadhaa hawakufariki hapo hapo.
 
Walikamatwa wengi Mkuu, hadi mashoe shine.

Nakumbuka walimkamata chalii mmoja ambaye hapa sijaona jina lake, wakati ule walisema ndiye aliyerusha bomu...

Sikuwa najua kama kuna utitiri wa watu tena viongozi wa imani...
 
Aisee ndio umeshahamia Arusha sasa..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hoja ile ya Covax, hii post yako imemdhalilisha sana...!!! Inaonyesha aliandika bila kuwa na data yoyote. Yaani yeye kafuata hisia zake tu na si uhalisia. haya arudi hapa aseme akama bado anaona wameonewa au ni haki yao kupata hiyo hukumu..!!
Atakwambia watatu 3...wameshazoea kuua mamia ya watu..hawa magaidi wanawachafua sana wenzao wengine wenye kumjua Mungu...
 
Kwa hoja ile ya Covax, hii post yako imemdhalilisha sana...!!! Inaonyesha aliandika bila kuwa na data yoyote. Yaani yeye kafuata hisia zake tu na si uhalisia. haya arudi hapa aseme akama bado anaona wameonewa au ni haki yao kupata hiyo hukumu..!!
Hata kama wasingekufa hata mmoja, adhabu yao bado ilistahili kuwa kifo, maana walilenga kuua
 
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni uwonevu. Hakimu atakuwa ametoa hukumu kwa chuki zake za kidini kwasababu ktk maelezo uliyoyatoa, hakuna mtu hata mmoja aliyekufa wakati wa kulipia hilo kanisa na hii inaonyeaha kwamba walipuaji walihakikisha hakuna mtu ndani ya kanisa wakati wa ulipuaji

Walisitaili kupata kifungo kilefu kwa uharibifu wa mali lakini sio kunyongwa mpaka kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…