Mkuu unahamisha mada hapa tupo kwenye jamhuri ya mgaano wa Tanzania na tuna fuata katiba ya jamuhuri, sasa yale ya nchi za kiarabu unaketa za nini kwa kulinganisha adhabu tofauti tofauti.Nchi za kiislamu zinazoendesha serikali yake kwa kufuata vitabu vya dini zimetoa adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ataukana uislamu (apostasy)
Kuna adhabu ya kunyongwa kwa watu wanaojihushisha na homosexual.
Kumbuka hao wote wanao hukumiwa sio tu kwamba hawajaua au kufanya jaribio la kuua bali hawajamjeruhi hata nzi.
Kama umeona hao masheikh hawakustahili kupewa adhabu ya kifo na kuona wameonewa kwasababu kwenye lile bomu hakuna aliyekufa, ebu fikiria hao watu wanaokatwa vichwa kwasababu tu ni mashoga au wameukataa tu uislamu?
Je walistahili kukatwa vichwa japokuwa hakuna mtu waliyemuua?
Nauhakika kwa upande wako adhabu hiyo unaiona ni fair kabisa kuona mtu anachinjwa kwakua kaukataa tu uislamu.
Utakuwa tayari kupeperusha bendera za ushindi na kutoa kauli za kumsifu Mungu wakati watu hao wakichinjwa.
Na pengine hata wewe tu unaweza kumuonea wivu yule mchinjaji ukatamani nafasi hiyo upewe wewe ukiamini kufanya hivyo utapata thawabu.
Type ya watu kama nyinyi ndio wale mnaotamani.watu wote tuwe waislamu, na sisemi kama ni jambo baya kuwa na wishfully thinking ya namna hiyo.
Ubaya ni njia unayochagua kuitumia ili kuwafanya watu wote tuwe dini yako baada ya mahubiri na mafundisho kushindwa kumshawishi mtu na hivyo kutumia mabavu na roho mbaya.