ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Mkuu wa mkoa ameamuru polisi kuwakamata kwa kuwa wameenda kutoa rambirambi moja kwa moja kwa wafiwa bila kumfikishia yeye, hii aibu kubwa, msiba Gambo anaugeuza siasa? Yaani wafiwa wasitembelewe bila kibali cha polisi? Amekula rambirambi sasa ana haha aibu kweli.
ndio tatizo la kujua kusoma na kuandika
 
sasa cocochanel, mumetangaza kuwa mumewapa wafiwa pesa ya rambi rambi mil3.8 kumbe mumewapa 1 na kuwaahidi nyingine mtalipa baadae, kuna pesa ya chakula mumetumia m4, watu wanauliza hivyo vyakula wamekula wapi, haya kwa msaada wa mama samia, hawa vijana wasingepelekwa nje kutibiwa kwani serikali ilishasema ingewatibu hapa hapa, hebu kuweni na huruma jamani, mnakuwa kama hamna watoto, nchi sio ya kijani, nchi ni yote sote, hamna hati miliki inapotokea maafa kama haya watu siasa muache ili tuwahudumie wahanga, nyie kweli mpaka rambi rambi mnameza kweli? daah, na yatajulikana mengi tu, hizi pesa tutaziacha hapa hapa na hakuna atakayezikwa nazo, mie kwangu nasema kuweni na utu, litakuja kutokea jambo kubwa sana na watu, mashirika yatagoma kutoa kwa huu ukiritimba wenu, mnajitahidi sana kujenga chuki katika jamii tuonane wabaya, lakini sie tumeshikamana na hatutachukiana kamwe upendo aliotuachia Nyerere tutazidi kuuenzi, katu hatutatengamana, ila tu chuki itatengenezwa kati ya viongozi na wananchi na sio wananchi kwa wananchi

Kwanza ni kwamba 1m walipewa uwanjani, na zingine familia zaidi ya ishirini wameshapokea na wengine walikuwa wanajadiliana nao kuwapatia..hii itakuwa na kwamba wanataka kuzipokeaje kwa njia rahisi wanapendayo.

Haya yote ninesoma humu, kuhusu pesa kuliwa hapo mlilalamika na uchambuzi ulitolewa na RC Gambo nayo imo humu.

Vyakula fikiria viongozi walikaa siku ngapi kule na kula milo ta kila siku, na catering service iliwachaji hivyo mlitaka iweje? Hayo nayo nimesoma humu. Wale waliotoka nje ya nchi na viongozi wengine wa nchini mlitaka waje majumbani mwenu muwalishe!?

Sielewi kwanini mnalalamikia pesa za misiba, bora hata mngekuwa mnaongelea zile over 50m zilizobaki kushauri wafanyie nini kwa wafiwa na majeruhi ningeelewa mnajali zaidi na sio wengi kujaa tamaa.

Meya alitaka ufafanuzi kapewa kaona naye atafute njia ingine ya kula pesa na kuendesha kikao kisiasa, kwani hao waoiofiwa ni lazima pesa wachangiwe au kuna lingine lazima lipo walitaka kutumia ahali kufanya yao maovu na huyo mkuu wa shule hiyo.

Tutazidi kupata habari.

Vikao vya uchochezi navyo havina faida lazima vikatazwe.
 
Siku hizi kutoa rambirambi kunahitaji kibali??? Basi misiba isingefanyika kabisa
 
Jamaa hivi hana mshahara nn?mbn za rambirambi ndo anataka kuzigeuza asee
 
Sikuizi kutoa rambirambi inabidi mkaombe kibali polisi, nadhani walijisahau
 
Mbona huwa yanafanyika makongamano mengi sana shuleni bila hata polisi kuhusishwa iweje hili la leo wamekua na interest nalo
 
Katika watu wa ajabu ni godbless lema bungeni alisimama kuuliza swali kuwa kwa nini mumiliki kakamatwa badala ya kuuliza kuwa hiyo gari iliyoua hakuwa na bima malipo ya bima yatakuwaje kwa wafiwA na majeruhi? Haki zao zimepoteA au vipi? MawAkili komaeni jitoleeni kumburuza mahakamani mmiliki alipe wafiwa na majeruhi
tunaongrlra jambo hili lililopo machoni petu hayo mengine yatafanyiwa kazi accordingly
 
ni vitendo vipi visivyovumilika? una maana viongozi waliochaguliwa na wananchi kwenda kuwapa pole wananchi waliowachagua? (kweli maradhi ya akili yako ya aina nyingi, dah!)
Ndiyo maana mtu kama Meck Sadiq ameacha kushiriki huu unafki !!.

Katiba hii ni mbaya sana mteule kuwa na nguvu dhidi ya mchaguliwa. WaTz tudai katiba mpya kwa nguvu zote
 
Kumbe wamekusanyika bila kibari hahahaaaa wazee wa kuunda matukio sasa c mseme tu kua hamtaki izo pesa zipitie uko mnataka zipite kwa gambo jmn
 
Back
Top Bottom