Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really?Nahisi niko usingizini,ngoja ndoto iishe hii
Huyu Gambo ameanza kuchanganyikiwa, hivi hajui kuwa anasababisha watu wazidi kuichukia Serikali, akili za kibashite hiziJeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.
Vitendo vya kutopitisha rambi rambi kwa mkuu wa mkoaGood job mheshimiwa mkuu wa mkoa, vitendo km hv havivumiliki kabisa, waweke huko huko.
Mkuu kwa hiyo hata kutoa rambirambi ni mpaka upate kibali, hiki ni kichekesho, mnamuharibia raisi badala ya kumsaidiaGood job mheshimiwa mkuu wa mkoa, vitendo km hv havivumiliki kabisa, waweke huko huko.
Muda siyo mrefu.Tunakoelekea, hata vikahojiwa vya harusi itabidi viombewe vibali Police!!
Sasa cocochanel, mumetangaza kuwa mumewapa wafiwa pesa ya rambi rambi mil3.8 kumbe mumewapa 1 na kuwaahidi nyingine mtalipa baadae, kuna pesa ya chakula mumetumia m4, watu wanauliza hivyo vyakula wamekula wapi, haya kwa msaada wa mama samia, hawa vijana wasingepelekwa nje kutibiwa kwani serikali ilishasema ingewatibu hapa hapa, hebu kuweni na huruma jamani, mnakuwa kama hamna watoto, nchi sio ya kijani, nchi ni yote sote, hamna hati miliki inapotokea maafa kama haya watu siasa muache ili tuwahudumie wahanga, nyie kweli mpaka rambi rambi mnameza kweli?Kama ni mkutano wa uchochezi ni sawa tu. Meya kaumbuka kwa kudai serikali imekula pesa, sasa wanataka kutumia siasa kufanya maajabu juu ya ajali iliyogusa wengi.
Mlianza mitandaoni kutishia kutumi nguvu kuichafua serikali, hiyo haikubaliki kabisaaaa.
Ni bora muweke sera zenu mbele zijulikane tho hamna, kuliko kudandia majambo kutafutia kiki.
Mengine tuheshimu dola itupe maelezo zaidi.
Hapana, nauli wabaki nayo tu ni bora tutembee kwa miguu-Nirúdishieni nauli yangu nishuke.
Wanamharibia raisi badala ya kumsaidia, hivi unafikiri kwa kufanya hivyo wananchi wataipenda SerikaliNdiyo nchi yetu ilipofikia. Kuna vidikteta uchwara chungu nzima vinafuata nyayo zake.
imeanzia kibiti mkuuDhambi hii itau-cost huu utawala..lets wait and see