ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ndio tatizo la kujua kusoma na kuandika
 

Kwanza ni kwamba 1m walipewa uwanjani, na zingine familia zaidi ya ishirini wameshapokea na wengine walikuwa wanajadiliana nao kuwapatia..hii itakuwa na kwamba wanataka kuzipokeaje kwa njia rahisi wanapendayo.

Haya yote ninesoma humu, kuhusu pesa kuliwa hapo mlilalamika na uchambuzi ulitolewa na RC Gambo nayo imo humu.

Vyakula fikiria viongozi walikaa siku ngapi kule na kula milo ta kila siku, na catering service iliwachaji hivyo mlitaka iweje? Hayo nayo nimesoma humu. Wale waliotoka nje ya nchi na viongozi wengine wa nchini mlitaka waje majumbani mwenu muwalishe!?

Sielewi kwanini mnalalamikia pesa za misiba, bora hata mngekuwa mnaongelea zile over 50m zilizobaki kushauri wafanyie nini kwa wafiwa na majeruhi ningeelewa mnajali zaidi na sio wengi kujaa tamaa.

Meya alitaka ufafanuzi kapewa kaona naye atafute njia ingine ya kula pesa na kuendesha kikao kisiasa, kwani hao waoiofiwa ni lazima pesa wachangiwe au kuna lingine lazima lipo walitaka kutumia ahali kufanya yao maovu na huyo mkuu wa shule hiyo.

Tutazidi kupata habari.

Vikao vya uchochezi navyo havina faida lazima vikatazwe.
 
Siku hizi kutoa rambirambi kunahitaji kibali??? Basi misiba isingefanyika kabisa
 
Jamaa hivi hana mshahara nn?mbn za rambirambi ndo anataka kuzigeuza asee
 
Sikuizi kutoa rambirambi inabidi mkaombe kibali polisi, nadhani walijisahau
 
Mbona huwa yanafanyika makongamano mengi sana shuleni bila hata polisi kuhusishwa iweje hili la leo wamekua na interest nalo
 
tunaongrlra jambo hili lililopo machoni petu hayo mengine yatafanyiwa kazi accordingly
 
ni vitendo vipi visivyovumilika? una maana viongozi waliochaguliwa na wananchi kwenda kuwapa pole wananchi waliowachagua? (kweli maradhi ya akili yako ya aina nyingi, dah!)
Ndiyo maana mtu kama Meck Sadiq ameacha kushiriki huu unafki !!.

Katiba hii ni mbaya sana mteule kuwa na nguvu dhidi ya mchaguliwa. WaTz tudai katiba mpya kwa nguvu zote
 
Kumbe wamekusanyika bila kibari hahahaaaa wazee wa kuunda matukio sasa c mseme tu kua hamtaki izo pesa zipitie uko mnataka zipite kwa gambo jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…