ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Hahhahahahahah,haya bwana ngoja tumalizia zilizobaki maana tulilipia na DSA ya Makamu wa Rais
 
WATOTO WAMEFARIKI NA KWENDA KUZIKWA KWENYE FAMILIA ZAO-WAMETANGULIA GALILAYA HAWAPO HAPO SHULE SASA RAMBIRAMBI ANAPEWA NANI HAPO?
 
Vijana waliyopewa madaraka wametuangusha sana sisi vijana wenzio maana wameonyesha failure kubwa mno ya uongozi na kudhihirisha kuwa bado sana kwa sisi kushika madaraka makubwa kama ya ukuu wa mkoa tu tunafanya vituko kama hivi,so sad...tumetawaliwa na mihemuko badala ya busara na hekima
 
IMEFIKA WAKATI TUHESHIMU MAMLAKA ZILIZOPO.HAIWEZEKANI UTARATIBU ULIWEKWA TOKEA MWANZO KUWA HELA ZOTE ZA RAMBIRAMBI ZIPELEKWE KWA MKUU WA MKOA ARUSHA,HALAFU LEO MSTAHIKI MEYA ANAKWENDA KUGAWA HELA MOJA KWA MOJA BILA KUFUATA UTARATIBU.HII NI DHARAU YA HALI YA JUU NA SEREKALI HII HAITAKIWI KULIFUMBIA MACHO SWALA HILI HATUA KALI ZICHUKULIWE DHIDI YA MEYA HUYU NA WENGINE WATAKAO MJARIBU MH GAMBO.HAIWEZEKANI KUFANYA DHARAU YA NAMNA HII HATA BUNGE LILIFUATA UTARATIBU HUU NA LIKATUMA HELA KWA MKUU WA MKOA IWEJE MEYA AFANYE KINYUME.NAOMBA TUACHE SIASA KATIKA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYA MHE.GAMBO AACHWE AMALIZIE KAZI ALIYOIFANYA KWA KUJITOLEA NA KWA UAMINIFU MKUBWA.

Sijaona ulazima wowote wa kufanya hivyo.Hela zangu kwanini nipitishe kwa mla rambi rambi??Acheni upuuzi jamani.Tanzania yetu sote.

Hata kama mnakitetea Chama cha Mauaji,basi teteeni penye mashiko,mengine ni upuuzi.Mnatia aibu.

Huyo Gambo anajua nini maana ya Paroka/Padre au Mchungaji au anaenda tu kama kipofu?
 
Wanapenda kufanya hivyo,halafu wakilalamikiwa wanajiona wanadharaulika

Yaani.utafikiri watoto wa kondoo.wanaenda enda tu.iko haja hawa wakuu wa mikoa na wilaya.wakatazwe kutumia polisi.
 
Serikali hii sasa inaongozwa in a very Primitive way..
Aliyetoa hii amri atakufa kifo kibaya zaidi ya hawa watoto.
 
Hv kwani tupo kwenye state of emergency mpaka vikao tuombe ruhusa kwani bar,harusi nazo unaomba kibali
 
Yaani.utafikiri watoto wa kondoo.wanaenda enda tu.iko haja hawa wakuu wa mikoa na wilaya.wakatazwe kutumia polisi.

Ni kweli,on hata huku jinsi Makada walivyoifurahia issues nzima ya Meya kukamatwa as if ameua
 
hivi bado wanapewa rambirambi tu? mimi nashauri pesa zilizobaki zifanyiwe matumizi mengine kwani wazazi wa hao watoto wanajiweza 100%
Hivi unajua maana ya rambi rambi!!? Unataka kusema anayejiweza hastahili rambi rambi!!? Misukule ya ccm ni shida.
 
Mwenye hiyo shule anaitwa Mushi mwenyeji wa kule kwa akina god bless Lena na mbowe yaani hapo watakuwa walifurika akina manka,nk wakutoka kule kule Kilimanjaro msiba umepata wenyewe aliyefiwa ni mwenye shule au wazazi ? Kwa Nini wasifunge virago kwenda kuwapa pole wazazi ? Badala yake wanaenda kumwona mhalifu mwenye shule ambaye gari yake haikuwA na kibali hata kimoja kuanzia road licence bima na kibali cha kubeba abiria na dereva wake hakuwa na leseni na gari ilijaza kupita kiasi? Hivi mtu akiwatuhumu kuwa walitoa kafara watoto wa watu watakataa? Maana Naona wako zaidi upande wa mwenye shule
Ficha ujinga wako hata kidogo mkuu, kwa hiyo inakuuma kua zaidi ya upande wa mwenye shule, shame
 
Kumbe siku hizi kutoa rambirambi lazima uwe na kibali cha Polisi!!! mbona mimi niko kwenye kikao cha msiba hapa jirani??
Ndo hivyo mkuu jiandae kupewa lift na Difenda............ Nchii hii haiishi vishangazo!
 
Kumbe co waganga wa jadi tu kufanya namna..hata
Kula rambi rambi unawehuka tu vizur..
 
Back
Top Bottom