Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliye mujibu kasema suala LA malazi. Na mm najua malazi ni kulalaWapi wamesema kulala, mnakuwa kama hamjui bei za wanaotoa huduma ya catering.
Mengine nendeni ofisini kwa RC mkamuulize au muandikieni humu.
IMEFIKA WAKATI TUHESHIMU MAMLAKA ZILIZOPO.HAIWEZEKANI UTARATIBU ULIWEKWA TOKEA MWANZO KUWA HELA ZOTE ZA RAMBIRAMBI ZIPELEKWE KWA MKUU WA MKOA ARUSHA,HALAFU LEO MSTAHIKI MEYA ANAKWENDA KUGAWA HELA MOJA KWA MOJA BILA KUFUATA UTARATIBU.HII NI DHARAU YA HALI YA JUU NA SEREKALI HII HAITAKIWI KULIFUMBIA MACHO SWALA HILI HATUA KALI ZICHUKULIWE DHIDI YA MEYA HUYU NA WENGINE WATAKAO MJARIBU MH GAMBO.HAIWEZEKANI KUFANYA DHARAU YA NAMNA HII HATA BUNGE LILIFUATA UTARATIBU HUU NA LIKATUMA HELA KWA MKUU WA MKOA IWEJE MEYA AFANYE KINYUME.NAOMBA TUACHE SIASA KATIKA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYA MHE.GAMBO AACHWE AMALIZIE KAZI ALIYOIFANYA KWA KUJITOLEA NA KWA UAMINIFU MKUBWA.
Wanapenda kufanya hivyo,halafu wakilalamikiwa wanajiona wanadharaulika
Lazima utakuwa D. Bashite, hizi id feki zinawabeba sana.Good job mheshimiwa mkuu wa mkoa, vitendo km hv havivumiliki kabisa, waweke huko huko.
Yaani.utafikiri watoto wa kondoo.wanaenda enda tu.iko haja hawa wakuu wa mikoa na wilaya.wakatazwe kutumia polisi.
Nauchukia huuu utawala kupita maelezoVitendo gani havivumuliki vya kutoa rambirambi au kula rambirambi.
Hivi unajua maana ya rambi rambi!!? Unataka kusema anayejiweza hastahili rambi rambi!!? Misukule ya ccm ni shida.hivi bado wanapewa rambirambi tu? mimi nashauri pesa zilizobaki zifanyiwe matumizi mengine kwani wazazi wa hao watoto wanajiweza 100%
Ficha ujinga wako hata kidogo mkuu, kwa hiyo inakuuma kua zaidi ya upande wa mwenye shule, shameMwenye hiyo shule anaitwa Mushi mwenyeji wa kule kwa akina god bless Lena na mbowe yaani hapo watakuwa walifurika akina manka,nk wakutoka kule kule Kilimanjaro msiba umepata wenyewe aliyefiwa ni mwenye shule au wazazi ? Kwa Nini wasifunge virago kwenda kuwapa pole wazazi ? Badala yake wanaenda kumwona mhalifu mwenye shule ambaye gari yake haikuwA na kibali hata kimoja kuanzia road licence bima na kibali cha kubeba abiria na dereva wake hakuwa na leseni na gari ilijaza kupita kiasi? Hivi mtu akiwatuhumu kuwa walitoa kafara watoto wa watu watakataa? Maana Naona wako zaidi upande wa mwenye shule
Ndo hivyo mkuu jiandae kupewa lift na Difenda............ Nchii hii haiishi vishangazo!Kumbe siku hizi kutoa rambirambi lazima uwe na kibali cha Polisi!!! mbona mimi niko kwenye kikao cha msiba hapa jirani??