ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Hahhahahahahah,haya bwana ngoja tumalizia zilizobaki maana tulilipia na DSA ya Makamu wa Rais
 
WATOTO WAMEFARIKI NA KWENDA KUZIKWA KWENYE FAMILIA ZAO-WAMETANGULIA GALILAYA HAWAPO HAPO SHULE SASA RAMBIRAMBI ANAPEWA NANI HAPO?
 
Vijana waliyopewa madaraka wametuangusha sana sisi vijana wenzio maana wameonyesha failure kubwa mno ya uongozi na kudhihirisha kuwa bado sana kwa sisi kushika madaraka makubwa kama ya ukuu wa mkoa tu tunafanya vituko kama hivi,so sad...tumetawaliwa na mihemuko badala ya busara na hekima
 
Wapi wamesema kulala, mnakuwa kama hamjui bei za wanaotoa huduma ya catering.

Mengine nendeni ofisini kwa RC mkamuulize au muandikieni humu.
Niliye mujibu kasema suala LA malazi. Na mm najua malazi ni kulala
 

Sijaona ulazima wowote wa kufanya hivyo.Hela zangu kwanini nipitishe kwa mla rambi rambi??Acheni upuuzi jamani.Tanzania yetu sote.

Hata kama mnakitetea Chama cha Mauaji,basi teteeni penye mashiko,mengine ni upuuzi.Mnatia aibu.

Huyo Gambo anajua nini maana ya Paroka/Padre au Mchungaji au anaenda tu kama kipofu?
 
Wanapenda kufanya hivyo,halafu wakilalamikiwa wanajiona wanadharaulika

Yaani.utafikiri watoto wa kondoo.wanaenda enda tu.iko haja hawa wakuu wa mikoa na wilaya.wakatazwe kutumia polisi.
 
Serikali hii sasa inaongozwa in a very Primitive way..
Aliyetoa hii amri atakufa kifo kibaya zaidi ya hawa watoto.
 
Mtoa mada,niangalizie kama wana habari wa TBC walipata lifti tafadhali..
 
Hv kwani tupo kwenye state of emergency mpaka vikao tuombe ruhusa kwani bar,harusi nazo unaomba kibali
 
Yaani.utafikiri watoto wa kondoo.wanaenda enda tu.iko haja hawa wakuu wa mikoa na wilaya.wakatazwe kutumia polisi.

Ni kweli,on hata huku jinsi Makada walivyoifurahia issues nzima ya Meya kukamatwa as if ameua
 
hivi bado wanapewa rambirambi tu? mimi nashauri pesa zilizobaki zifanyiwe matumizi mengine kwani wazazi wa hao watoto wanajiweza 100%
Hivi unajua maana ya rambi rambi!!? Unataka kusema anayejiweza hastahili rambi rambi!!? Misukule ya ccm ni shida.
 
Ficha ujinga wako hata kidogo mkuu, kwa hiyo inakuuma kua zaidi ya upande wa mwenye shule, shame
 
Kumbe siku hizi kutoa rambirambi lazima uwe na kibali cha Polisi!!! mbona mimi niko kwenye kikao cha msiba hapa jirani??
Ndo hivyo mkuu jiandae kupewa lift na Difenda............ Nchii hii haiishi vishangazo!
 
Kumbe co waganga wa jadi tu kufanya namna..hata
Kula rambi rambi unawehuka tu vizur..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…