ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

'#BREAKING Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
hahahahahaa lift ya kwenda wapi??? dah
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Lift!!!!
 
Anadhani kwa kufanya ujinga huo anipunguza nguvu CHADEMA. Kumbe ndio anipa promo ya bure. Mh Rais huyu mtu wako ameshindwa kazi muondoe anazidi kukutia aibu.
 
Unafaa kwa propoganda mfu kwa niaba ya ccm
 
Wee ndo hamnazo kabisa hao viongozi walienda kula au kusaidia kumbe nyie maccm ndo tabia yenu mkiona misiba hata nyumbani hamuachi hela ya mboga, yaani hata aibu huoni eti viongozi wangekula nini,,
 
Kweli gonjwa la UTAAHIRA huwa halipigi hodi.
Umeonaee!!! Yaani sijui watu wengine nani kawapa nafasi huku Jf...
Maana naona kama huchangia shisha. Yaani mtu anashangilia watu walio kwenda kutoa pole kukamatwa??? Hii ni hatari sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…