Lavrov Sergey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 400
- 230
Mkuu ndugu hakuna tatizo hapoSi ni mkuu wa usalama wa mkoa au? Labda mumulize sababu, naamini atakuwa na sababu zinazoeleweka juu ya hili tatizo.
Hivi wakati mwingine unasoma ulichoandika kabla hujapost?Kama ni mkutano wa uchochezi ni sawa tu. Meya kaumbuka kwa kudai serikali imekula pesa, sasa wanataka kutumia siasa kufanya maajabu juu ya ajali iliyogusa wengi.
Mlianza mitandaoni kutishia kutumi nguvu kuichafua serikali, hiyo haikubaliki kabisaaaa.
Ni bora muweke sera zenu mbele zijulikane tho hamna, kuliko kudandia majambo kutafutia kiki.
Mengine tuheshimu dola itupe maelezo zaidi.
We mjinga sana..hujui haki zako utaendelea kuburuzwa mpk last minute
Hivi wakati mwingine unasoma ulichoandika kabla hujapost?
Nadhani unatania kama jina lakoGood job mheshimiwa mkuu wa mkoa, vitendo km hv havivumiliki kabisa, waweke huko huko.
Kwenda kituo cha Polisi Arusha kutembelea watuhumiwahahahahahaa lift ya kwenda wapi??? dah