Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wao wanaendelea na mahojianoHahhahahah Pole,Paroko wangu wamemtoa?
polisi wasio na vyeti ndiyo kazi yao hiyo
Bado wao wanaendelea na mahojiano
Wengine wanasoma kwa ufadhilihivi bado wanapewa rambirambi tu? mimi nashauri pesa zilizobaki zifanyiwe matumizi mengine kwani wazazi wa hao watoto wanajiweza 100%
Tunatafakari hatua za kuchukua ikiwepo kutoandika habari za Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kama tulivyofanya kwa Daudi Bashite.Shida yenu ni kuto kutafakari. Kesho mkiitwa na polisi au huyo RC mtamkimbilia na kuandika masifa. Ifike mahali mjue kuna viongozi wana watumia kwa maslahi yao. Nani anamjua yule masifa wa Jiji la baharini siku hizi? Kwanini na huyo wenu msimblacklist???
Gambo atakuwa mteule wa "mungu"Naoan sasa Maparoko na maaskofu ndiyo watajua kama Gambo ni mteule wa Mungu au mungu
Gambo atakuwa mteule wa "mungu"
Viongozi wa dini wameshaachiwa muda huu baada ya mahojiano kumalizikaNdiyo waisome number
kitaeleweka hatutofanya makosa...Miaka mitano tutaona mengi na vituko zaidi. Ila ni kipimo cha hukumu yao 2020.
Haha Ha wanatafakari baa'#UPDATE Waandishi 10 tuliokamatwa na Polisi Arusha leo ktk utoaji rambirambi shuleni Lucky Vicent tumeachiwa,Polisi wametumbia walitupa lift tu View attachment 511134
Waandishi wa habari tukiwa pamoja kutafakari tukio la leo la kukamatwa na kuambiwa tulipewa lift tuu!
Pia na RPC aliye wadhihaki kwamba mmepewa lift. Hili sio jambo la kutafakari. Ni jambo la kuchukulia hatua. Kwamba nyie ni watu wa lift... Dharau hizooTunatafakari hatua za kuchukua ikiwepo kutoandika habari za Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kama tulivyofanya kwa Daudi Bashite.
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akizungumza baada ya Meya wa Arusha kukamatwa na Polisi maeneo ya shule ya Lucky Vincent.
MSIKILIZE