ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Wapinzani mmekuwa waoga mno hivi huyu mnyarwanda anawanyamazisha watanzania wote?
 
Kwa nini anatoa amri kuwakamat walioenda kutoa rambirambi? Wamekosa nini? Watashitakiwa kwa kosa gani???
 
Mkuu wa mkoa mh.Mrisho Gambo tunatambua sana utendaji wako uliotukuka mm kama mwana ccm ww kama kada hapo sikuungi mkono hata chembe.Unaongeza machungu kwa wafiwa badala ya kuwapa faraja!!!!Gambo no nasema no unatuzalilisha
 
'#UPDATE Waandishi 10 tuliokamatwa na Polisi Arusha leo ktk utoaji rambirambi shuleni Lucky Vicent tumeachiwa,Polisi wametumbia walitupa lift tu
Waandishi wa habari tukiwa pamoja kutafakari tukio la leo la kukamatwa na kuambiwa tulipewa lift tuu!
 
Uyu gambo kashasaau arivyokuwa anauza mitumba APA ilala.mchikichini muache alete jeuri tu
 
Mkuu wa mkoa mh.Mrisho Gambo tunatambua sana utendaji wako uliotukuka mm kama mwana ccm ww kama kada hapo sikuungi mkono hata chembe.Unaongeza machungu kwa wafiwa badala ya kuwapa faraja!!!!Gambo no nasema no unatuzalilisha

Bora umesema ukweli,Gambo anapenda sana ubabe kwenye msiba aache
 
Hakuna jinsi naye azirwe tu na wanahabari ili akome kuwakamata bila sababu za msingi.
 
Shida yenu ni kuto kutafakari. Kesho mkiitwa na polisi au huyo RC mtamkimbilia na kuandika masifa. Ifike mahali mjue kuna viongozi wana watumia kwa maslahi yao. Nani anamjua yule masifa wa Jiji la baharini siku hizi? Kwanini na huyo wenu msimblacklist???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…