swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Wapinzani mmekuwa waoga mno hivi huyu mnyarwanda anawanyamazisha watanzania wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini anatoa amri kuwakamat walioenda kutoa rambirambi? Wamekosa nini? Watashitakiwa kwa kosa gani???Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.
====
UPDATES:
Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
Angalia usije kupewa lift tu
Leo tumepewa lifti ya bure kabisa
Kweli mmeamua kujitoa ufahamuHa ha haaaa nilijua utarudi
Sasa unataka wasemeje na wote hatujui ukweli labda kama walirekodi tusubiri.
Waandishi mmebeba wa nini kama sio ulimbukeni acheni kuchekelea misiba vijana
Tumepakiwa kwenye zile gari za kawaida.Na gari gani BMW au ile ya ving'ora?
Mkuu wa mkoa mh.Mrisho Gambo tunatambua sana utendaji wako uliotukuka mm kama mwana ccm ww kama kada hapo sikuungi mkono hata chembe.Unaongeza machungu kwa wafiwa badala ya kuwapa faraja!!!!Gambo no nasema no unatuzalilisha
Tumepakiwa kwenye zile gari za kawaida.
BMW itoke wapi kwenye lifti?
eheee!! mkuu hebu kwanza kabla ya yooote tuanzie hapa.Mkuje mjibu hili swali.Hivi vikao vya shuleni na makazini vina vibali?
Shida yenu ni kuto kutafakari. Kesho mkiitwa na polisi au huyo RC mtamkimbilia na kuandika masifa. Ifike mahali mjue kuna viongozi wana watumia kwa maslahi yao. Nani anamjua yule masifa wa Jiji la baharini siku hizi? Kwanini na huyo wenu msimblacklist???'#UPDATE Waandishi 10 tuliokamatwa na Polisi Arusha leo ktk utoaji rambirambi shuleni Lucky Vicent tumeachiwa,Polisi wametumbia waliwapa lift tu View attachment 511134
Waandishi wa habari tukiwa pamoja kutafakari tukio la leo la kukamatwa na kuambiwa tulipewa lift tuu!
Hahaha wewe inabidi usamehewe tu hamna namna. Ni sawa na kuuliza Kiranja wa shule ni mwanafunzi?Kwahyo kila diwani ni meya? bila shaka we ni miongoni mwa wale ....