ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

HATARI SANA !!!!!!!! rambi rambi ni chanzo cha mapato awamu ya 5!!!
 
Hiyo ndiyo serikari yenye sela hapa kazi tu
 
Update namba mbili post ya kwanza imenifanya nicheke. Ila nimeshangazwa na upendo ulioonyeshwa na askari wetu kwa raia wema kabisa wahandishi wa habari. Kuwasaidia usafiri hali hii iendelee kama hao raia wema wameridhishwa na msaada huo wa askari wetu.
 
Da... magu katia njaa mpaka viongozi wake wana kula rambirambi zetu uyo mkuu wa mkoa aliziki tu. Au hana taka kula naizo za wafiwa nini.
 
Nasikia hata msaada haukuweza kutolewa tena.....wanataka pesa zipelekwe kwa mkuu wa mkoa ili yeye ndo aje kukabidhi.....Watu wanapenda u ukuu sana.
 
Tunatafakari hatua za kuchukua ikiwepo kutoandika habari za Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kama tulivyofanya kwa Daudi Bashite.
 
Miaka mitano tutaona mengi na vituko zaidi. Ila ni kipimo cha hukumu yao 2020.
 
Haha Ha wanatafakari baa
 
Mmekula rambirambi za wafiwa mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi.

Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."
 
Tunatafakari hatua za kuchukua ikiwepo kutoandika habari za Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kama tulivyofanya kwa Daudi Bashite.
Pia na RPC aliye wadhihaki kwamba mmepewa lift. Hili sio jambo la kutafakari. Ni jambo la kuchukulia hatua. Kwamba nyie ni watu wa lift... Dharau hizoo
 
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akizungumza baada ya Meya wa Arusha kukamatwa na Polisi maeneo ya shule ya Lucky Vincent.
MSIKILIZE
Atoe jibu gari ya St Vincent hakuwa na bima majeruhi na wafiwa atawasaidiaje kulipwa fidia na mumiliki wa hiyo shule. Waandishi wa habari mkomalieni lema aeleze anawasaidiaje kupata fidia zao. Mtoleeni uvivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…