Rc Gambo yuko sahihi 100%
Pia wilaya manyoni kuna nafasuli wazi,,only for KKs'*KWA ANAEJUA KUSOMA NA KUANDIKA KUNA NAFASI YA KAZI ya RC IMEACHWA WAZI KILIMANJARO*
Unajifanya unachangia kama una busara vile, lakini sio kweli. Wewe unasumbuliwa na mahaba ya chama yaliyoambatana na ufinyu wa uelewa. Jaribu kutumia muda mwingi kusoma na kutafakari hizo hisia zako weka pembeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaaa saaaana hahahha eti waliwapa lift tu, hapa nlikua na hasira Ila zote zimeisha ghafla.Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.
====
UPDATES:
Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
Usipochangia mwenge, tatizo. ukichangia msiba tatizo. Poleni wote mliokamatwa kwa kwenda kutoa rambirambi Lucky Vincent pia poleni wote mliotiwa msukosuko kwa kutochangia sh 2000 za mwenge.
MKUU KWA UTAWALA HUU KUTOA POLE KWA WAFIWA NI DHAMBI NYEKUNDU ILA KULA RAMBIRAMBI KAMA M-GAMBA NI UTAKATIFU WA HALI YA JUU NA UTAINGIA PEPONI YA UTAWALA ULE.Huu ni Aina ya Udikteta na ushamba wa hali ya juu kwani kwenda kutoa pole ni dhambi? hao polisi huenda hawana vyeti
eheee!! mkuu hebu kwanza kabla ya yooote tuanzie hapa.Mkuje mjibu hili swali.
Mandata wengi hasa hawa wanaosikaziwa kama umbwa wengi ni waliofeli kidata cha nne ila sifa iliowafikisha ccp ni urefu, hawana uwezo wa kuchangaya na zaoPolisi akili za kuambiwa ongezeni naza kwenu.Polisi mmezidi ujinga mno,ndio maana RAIA wanafurahi mkiuwawa.Huyu gambo amekula hela ya Jandu anazui halmashauri wasivunje uzio.
Ataa wewe sasa naona umeshaanza kuuliza maswali ,kutetea mabashite inachosha sana aisee .pole cocochanelSi ni mkuu wa usalama wa mkoa au? Labda mumulize sababu, naamini atakuwa na sababu zinazoeleweka juu ya hili tatizo.
: Mwananchi
Hahaha haka bila shaka nikazee ka lumumba...... Rambi rambi mlee nyie, kila kitu jamani mnataka nyie wao wakienda uchochezi haahah viwonderkamata tu..kazi uchochezi na kuleta mahungu.