ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Rc Gambo yuko sahihi 100%

Naona Laana ya Rambirambi inawatembelea.Au uke majengo wake kule Arusha haujamalizika hivyo anatafuta pesa za Rambirambi?

Mambo mengine msiwemnapenda kuyapigia makofi.Kuna siku mnakuja kujua na kusaga meno.
 
Unajifanya unachangia kama una busara vile, lakini sio kweli. Wewe unasumbuliwa na mahaba ya chama yaliyoambatana na ufinyu wa uelewa. Jaribu kutumia muda mwingi kusoma na kutafakari hizo hisia zako weka pembeni

Long time jamani, upo!?

Na wewe nimeshakuzoea na wenzako wa upinzani msiopenda uongozi wa waheshimiwa JPM na Makonda.

Eti unaandika juu ya busara!!! Halafu haunifahamu nikoje eeeeh naipenda sana JF.
 
Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.

====
UPDATES:

Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaaa saaaana hahahha eti waliwapa lift tu, hapa nlikua na hasira Ila zote zimeisha ghafla.
 

Usipochangia mwenge, tatizo. ukichangia msiba tatizo. Poleni wote mliokamatwa kwa kwenda kutoa rambirambi Lucky Vincent pia poleni wote mliotiwa msukosuko kwa kutochangia sh 2000 za mwenge.
 
Huu ni Aina ya Udikteta na ushamba wa hali ya juu kwani kwenda kutoa pole ni dhambi? hao polisi huenda hawana vyeti
MKUU KWA UTAWALA HUU KUTOA POLE KWA WAFIWA NI DHAMBI NYEKUNDU ILA KULA RAMBIRAMBI KAMA M-GAMBA NI UTAKATIFU WA HALI YA JUU NA UTAINGIA PEPONI YA UTAWALA ULE.
 
eeee...maana si tunakuwa na vikao kazini na watu tofauti tofauti...mfano watu wa mabenki kuhusu mikopo...
Tuulize maana tusije kuwa tunavunja sheria...

eheee!! mkuu hebu kwanza kabla ya yooote tuanzie hapa.Mkuje mjibu hili swali.
 
Polisi akili za kuambiwa ongezeni naza kwenu.Polisi mmezidi ujinga mno,ndio maana RAIA wanafurahi mkiuwawa.Huyu gambo amekula hela ya Jandu anazui halmashauri wasivunje uzio.
Mandata wengi hasa hawa wanaosikaziwa kama umbwa wengi ni waliofeli kidata cha nne ila sifa iliowafikisha ccp ni urefu, hawana uwezo wa kuchangaya na zao
 
Hivi kwanini wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe wenyeviti wakamati za ulinzi ya mikoa yao. Jeshi la polisi liwe linajitegemea na Mwenyekiti wa ulinzi mkoa awe tu ni mtu out ov mkuu wa mkoa wasiwe wanawajibika kwa mkuu wa mkoa au wilaya....... Maana skuiz ma RC Na DC wanatumia vibaya jeshi la plisi
 
There is an English saying: 'A cornered rat will fight'. Remember Soweto. Primary School children said 'enough is enough' and they fought against policemen with live ammunition and fierce Alsatian dogs, not afraid of death. You Tanzanian leaders, please:- for God's sake do not continue using your powers of arrest in every situation even where a few wise words would cool down the situation. People have lots of pain in their hearts, because the economy is at its worst, and they cannot even get their daily needs. If you continue using force in this way, you never know ! The bottled up anger and frustration may explode and there will be hell to pay. Please, leaders try very, very much to exercise restraint.
 
Si ni mkuu wa usalama wa mkoa au? Labda mumulize sababu, naamini atakuwa na sababu zinazoeleweka juu ya hili tatizo.
Ataa wewe sasa naona umeshaanza kuuliza maswali ,kutetea mabashite inachosha sana aisee .pole cocochanel
 
: Mwananchi

Lema, hakuna mtihani mgumu maishani kama mzazi kumzika mtoto. Kwa bahati mbaya mtihani huu umefika wazazi wa watoto 30 na walimu wao. At minimum, wewe kama mzazi ulitakiwa kuwapa nafasi wazazi hawa waombeleze (to come to terms) na mtihani huu mzito. Lakini kwa sababu unazozijua wewe binafsi, umeamua kugeuza msiba huu mzito kuwa mjadala wa siasa.

Lema kwenye hii post unaongelea rambirambi, what is rambirambi kwa mzazi aliyezika mtoto? Nina hakika hao wazazi wako tayari kutoa kila senti waliyonayo mfukuni warudishiwe watoto wao wakiwa hai. Lakini tunafahamu hili ni gumu kutokea. Ndio sababu nasikitika sana umekazana kuongea rambirambi lakini umesahau kila neno unalotamka kuhusu huu msiba -tena bila ridhaa ya wazazi walifikwa na msiba maana yake unawatonesha kidonda hiki kibichi. Hela? hizo 'bloody money', zitafanyia nini wakati wameshazika watoto Lema?. Jirudi utafakari tena upya.

Kama una vita na Mkuu wa Mkoa au mwanasiasa mwingine yoyote tafuta uwanja mwingine wa kupimana nguvu, lakini ningekusihi, kama mzazi uwape nafasi wafiwa waombeleze msiba huu mzito. Acha kujipa cheo cha kuwa msemaji wa wafiwa.

Nimalizie, ilikuwaje wewe mwanasiasa uende kutoa rambirambi na waandishi wa habari?[/QUOTE]
Wee gambo tulia dozi ikuingie...
 
Palikuwa na paroko pale, bila Shaka ibada ikikuwa inataka fanyika pale, sasa wamehamia had makanisani kukamata watu sijui nan atakuwa salama
 
very amazing!how can a mayor be arrested in mayorship that is under his control!!!
 
Mtakuja kushanga Gambo anaongezewa cheo na msisitizo "Wewe piga kazi tu"
 
Back
Top Bottom