ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Unbelievable! Treating people in Grief this way. Some people are very heartless with no consciousness. Not right and nothing can Justify this action
 
Meya wa Arusha, Kalist Lazaro na madiwani wawili wamenyimwa dhamana. Hapo awali waliambiwa dhamana ipo wazi na kuanza taratibu za kuwadhamini. Huenda kesho wakafikishwa mahakamani wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko bila kibali .

Wanaoshikiliwa wengine ni Inocent Kisanyage ambaye ni Katibu wa Mbunge Lema,diwani wa kata ya Olasiti mh. Alex Martin na diwani wa kata ya Muriet mh. Credo Kifukwe.
 
Madame crap. Lema hapokeo maagizo toka Lumumba
 
ASANTEEE
 
Hii ndio nchi yetu! Pesa ya rambirambi lazima ipitie mikononi mwa mkuu wa mkoa! Ni upuuzi wa hali ya juu!
 
Wamemkamata Mpaka na Paroko Laana ya Mungu i juu yao
 
Mungu nitie nguvu ya uvumilivu , maana mimi kama binadamu nimefikia kikomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…