ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

There is an English saying: 'A cornered rat will fight'. Remember Soweto. Primary School children said 'enough is enough' and they fought against policemen with live ammunition and fierce Alsatian dogs, not afraid of death. You Tanzanian leaders, please:- for God's sake do not continue using your powers of arrest in every situation even where a few wise words would cool down the situation. People have lots of pain in their hearts, because the economy is at its worst, and they cannot even get their daily needs. If you continue using force in this way, you never know ! The bottled up anger and frustration may explode and there will be hell to pay. Please, leaders try very, very much to exercise restraint.
Unbelievable! Treating people in Grief this way. Some people are very heartless with no consciousness. Not right and nothing can Justify this action
 
Meya wa Arusha, Kalist Lazaro na madiwani wawili wamenyimwa dhamana. Hapo awali waliambiwa dhamana ipo wazi na kuanza taratibu za kuwadhamini. Huenda kesho wakafikishwa mahakamani wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko bila kibali .

Wanaoshikiliwa wengine ni Inocent Kisanyage ambaye ni Katibu wa Mbunge Lema,diwani wa kata ya Olasiti mh. Alex Martin na diwani wa kata ya Muriet mh. Credo Kifukwe.
 
Lema mbona alimtetea huyo mumiliki bungeni akisema wamemwonea kumweka ndani aliposema hivyo kwani yeye Alikuwa traffic au polisi kwa Nini hakusema waachiwe wataalamu asitupiwe zigo yeye? Wazazi Na watoto ni wapiga kura wake kama mbunge wao anatakiwa awapiganie wafiwa na majeruhi kuhakikisha wanalipwa fidia na huyo mumiliki wa shule. Gari iliyoua ingekuwa ilikuwa na bima basi bima wangelipa fidia kwa majeruhi na wafiwa sasa kwa kuwa ilikuwa haina Lema kama mbunge aungane na majeruhi na wafiwa kumbana mbavu mumiliki awalipe. Yeye ni mbunge wao. Nawashauri wazazi WA majeruhi na watoto waliofariki wamfuate lema wamwambie afuatilie mabilioni yao Ya fidia toka kwa mumiliki wa shule Ya St Vincent
Madame crap. Lema hapokeo maagizo toka Lumumba
 
heheheee mbele kwa mbele mliojipanga mifoleni kusema mmechagua jembe sasa linawalima...... 😉😉😉😉 mtajijua na bosi wenu na mkome 2020 mrudie tena😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
ASANTEEE
 
Hii ndio nchi yetu! Pesa ya rambirambi lazima ipitie mikononi mwa mkuu wa mkoa! Ni upuuzi wa hali ya juu!
 
Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.

====
UPDATES:

Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
Wamemkamata Mpaka na Paroko Laana ya Mungu i juu yao
 
Mungu nitie nguvu ya uvumilivu , maana mimi kama binadamu nimefikia kikomo
 
Back
Top Bottom