ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Tunaambiwa habari ya kwamba Meya na madiwani,wane,mapadri na shehe mkuu mmoja wamekamtwa wa kwenda kuwapa pole wafiwa,wamefanya kosa gani hata ifikie hivyo???.
Huu ni uonevu,halafu ukisema,wapambe wa maonevu,wataingiza yao kipropaganda,kutaka ionekani ni jambo la kawaida,Tanzania I nakwenda katika kipindi kigumu cha ukiukwaji wa haki za kibinaadamu,kila ukiamka u,utasikia vyombo vya serikali,vinaendelea kuwatengenezea matatizo wananchi wake,halafu mnakuja kustaajabu mambo yanayotokea ukanda wa kibiti ,mkuranga,na rufiji,ikiwa raia hamuwatendei wema,mnategemea kuzalisha nini???,Rais anatakiwa apate msaada ama wakuu wastaafu,kama kikwete ambaye,aliiacha nchi katka hali ya watu kutegemea maendeleo zaidi na utulivu,Kama hakuna haki itayoleta amani,nayo maendeleo tunayoambiwa,yatakuja vipi?Leo nchi imerudi nyuma miaka 40 iliyopita,Amani nchi imekuweko muda wote,lakini katakana ukiukwaji mkubwa wa haki na sheria,Amani inafifia,suali tunajiuliza,haya mambo ya ukandamizaji huu yanafanywa kwa makusudi??,tusipoziba tutakuja juta,bado tunaipenda nchi yetu.
Mwenyenzi Mungu ibariki Tanzania.
 
Nchi ya view wonder imegeuka kuwa nchi ya chuki, ulafi kwa wenye mamlaka, vitisho,......

[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Ni upuuzi tu, hamna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wanakazana kuuwa siasa za upinzani hazifi wataondoka wao, wajanja wameshaanza kujiengua mapema.
Halafu cha ajabu walikuwa hawafanyi siasa ila kutoa pole kwa wafiwa. Wanahitaji kibali kutoa pole?????
 
Hasira zote hizo sababu hela hazijapitia kwake apige panga anajiona kafika gambo walikuepo viongozi sembuse wewe utawala unakuja na kuondoka time will tell ipo siku utajiona kinyesi mbele ya jamii.
Laana yako ya kula michango na iwe juu yako familia na watoto wako fakeni[emoji20]
 
Gambo anaishi na kufanya shughuli kwa wasiwasi kwa wasiwasi kuliko swala aliyezungukwa na mifisi. Upinzani haudhibitiwi kwa namna hiyo bali kwa hoja za kuwashawishi wananchi. Gambo atakuwepo hadi kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 na hivyo watu wa Arusha nawashauri muanze kutengeneza mikakati tofauti ya kuhakikisha ushindi. Tutashuhudia Lema akiswekwa ndani, madiwani wakiswekwa ndani, Kampeni kupigwa marufuku kwa njia ya kutotoa vibali vya mikutano, wanajeshi na polisi kusimamia uchaguzi na mawakala kutoruhusiwa kuingia kushuhudia kura kuhesabiwa ili kuruhusu njia nyeupe kwa watu wa CCM kushinda . Huu ni utabiri wangu kwani dalili siyo nzuri kuna ushindi wa kulazimisha kwa kulazimisha kukubalika kwa chama kilichokataliwa na idadi kubwa ya wananchi kuendelea kutawala
 
Gambo ana waharasi watu kisaikolojia!

Kiukweli Lema ana wakati mgumu mno tangu JK aondoke!
 
Hata ulichoandika wewe mwenyewe ukikirudia hutakielewa.
 
Good job mheshimiwa mkuu wa mkoa, vitendo km hv havivumiliki kabisa, waweke huko huko.
Wewe nikikutafsiri nashindwa kuvuta taswira ambayo inaweza kukufaa, akili umeamua kuitupilia mbali kabisa na unaanza kutumia utashi wa mnyama ambaye hajui huyu ni mama yake au mwanae yeye.
Muda ndio jibu!!!
 
Ataa wewe sasa naona umeshaanza kuuliza maswali ,kutetea mabashite inachosha sana aisee .pole cocochanel

Sasa unataka nifanyeje mie wakati tulikuwa tunaambiwa wamekamatwa kabla ya update kumwagika..unataka niandike uongo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…