ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Huko ndiko kusoma na kuandika! Kazi kweli eti 2020 Mgambo atasimama Arusha mafiii yakeeeee
 
Tatizo huna elimu ndo maana hujui hata kuandika
 

Mimi ninachowashangaa watu wa Arusha ni kukubali kuongozwa na mtu kama Mrisho Gambo. Yaani wameshindwa kabisa kumtoa? Shocking.
 
Tehe tehe.Waandishi watakurupuka kumsusia Gambo nae
 
Gambo anawaenyesha balaa Arusha.
Kujua kusoma na kuandika haitoshi kuwa sifa yanukuu wa mkoa nadhan serikali ifanyebmabdiriko ya haraka kabla hawa wanao jua kusoma na kuandika hawaja lipaka mmatope zaid taifa hili, mtu anaye jua kusoma pekee hatoshi.
 

Hii mijitu ni mipunguani,meya kwenda kutoa pole ni mkusanyiko?ndo maana ambao syo vichaa wameandika barua kujiondoa katikati ya vichaa
 
Mapovu makali kiasi unachapia balaa. Kuhamasisha vurugu gani...nijibu akili yako ikitulia, maana saa hizi unatweta.
 
Ndio upeo wao wa uongozi ulipoishia, halafu anaye fanya hivyo ni graduate nini kingetokea kama angekuwa ni mtu mwenye kujua kuandika na kusoma tu.
 
 
Wale wataalamu wa lugha ya kiswahili watusaidie msamiati mpya wa aina mpya hii ya "ufisadi wa rambirambi" unaofanywa na viongozi wa inzi wa kijani kibichi.
 
Msifikiri wakati wote wanawakamata na kuwafikishe mahakamani ili wakawashinde mahakamani na mfungwe bali tambueni wanawakamata ili tu wawakomoe kwa kuwawaweka ndani na kuwanyima dhamana.

Watu hawa hawana uchungu na pesa zetu ndio maana hata hawaoni tabu kutumia vibaya resources tulizowakabidhi.

Ni mwenda wa kukomoana tu.

Wale wapiga makofi endeleeni kupiga makofi lakini wenye akili tulishajua tangu siku nyingi kuwa kina fulani hawafai kwa lolote.
 

Pole sana msiba huwa hauishi.Na kila Mtanzania wanayohaki

Sasa wenye shule wana kosa gani kisheria?? Akili za KKK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…