ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Huko ndiko kusoma na kuandika! Kazi kweli eti 2020 Mgambo atasimama Arusha mafiii yakeeeee
 
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.
Tatizo huna elimu ndo maana hujui hata kuandika
 
Hivi nyie watu wa Arusha kutumia msiba mkubwa huu tena unawahusu watoto kufanyia siasa, kweli akili zenu zinafanya kazi? Hawa watoto imefanyika kazi kubwa ya kuwanasihi ili huzuni iwatoke. Wameeanza kuzoea hali halafu linatokea jitu linatafuta umaarufu wa kisiasa linaenda kuwatonesha. Kwa nini usiwaite viongozi wa shule kufika ofisi ya meya kuchukuwa hicho mnachoita rambirambi? Tuwe wastaarabu.

Mimi ninachowashangaa watu wa Arusha ni kukubali kuongozwa na mtu kama Mrisho Gambo. Yaani wameshindwa kabisa kumtoa? Shocking.
 
Gambo anawaenyesha balaa Arusha.
Kujua kusoma na kuandika haitoshi kuwa sifa yanukuu wa mkoa nadhan serikali ifanyebmabdiriko ya haraka kabla hawa wanao jua kusoma na kuandika hawaja lipaka mmatope zaid taifa hili, mtu anaye jua kusoma pekee hatoshi.
 
Meya wa Arusha, Kalist Lazaro na madiwani wawili wamenyimwa dhamana. Hapo awali waliambiwa dhamana ipo wazi na kuanza taratibu za kuwadhamini. Huenda kesho wakafikishwa mahakamani wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko bila kibali .

Wanaoshikiliwa wengine ni Inocent Kisanyage ambaye ni Katibu wa Mbunge Lema,diwani wa kata ya Olasiti mh. Alex Martin na diwani wa kata ya Muriet mh. Credo Kifukwe.

Hii mijitu ni mipunguani,meya kwenda kutoa pole ni mkusanyiko?ndo maana ambao syo vichaa wameandika barua kujiondoa katikati ya vichaa
 
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.
Mapovu makali kiasi unachapia balaa. Kuhamasisha vurugu gani...nijibu akili yako ikitulia, maana saa hizi unatweta.
 
Ndio upeo wao wa uongozi ulipoishia, halafu anaye fanya hivyo ni graduate nini kingetokea kama angekuwa ni mtu mwenye kujua kuandika na kusoma tu.
 
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.[/QUOTE
Rudia kusoma ulicho andika.
 
Wale wataalamu wa lugha ya kiswahili watusaidie msamiati mpya wa aina mpya hii ya "ufisadi wa rambirambi" unaofanywa na viongozi wa inzi wa kijani kibichi.
 
Msifikiri wakati wote wanawakamata na kuwafikishe mahakamani ili wakawashinde mahakamani na mfungwe bali tambueni wanawakamata ili tu wawakomoe kwa kuwawaweka ndani na kuwanyima dhamana.

Watu hawa hawana uchungu na pesa zetu ndio maana hata hawaoni tabu kutumia vibaya resources tulizowakabidhi.

Ni mwenda wa kukomoana tu.

Wale wapiga makofi endeleeni kupiga makofi lakini wenye akili tulishajua tangu siku nyingi kuwa kina fulani hawafai kwa lolote.
 
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.

Pole sana msiba huwa hauishi.Na kila Mtanzania wanayohaki

Sasa wenye shule wana kosa gani kisheria?? Akili za KKK.
 
Back
Top Bottom