Hata kama wataachiwa wanapaswa wafungue kesi ya kudhalilishwa makusudi kwa Amri za mkuu wa mkoawataachiwa tu,soon kosa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wataachiwa wanapaswa wafungue kesi ya kudhalilishwa makusudi kwa Amri za mkuu wa mkoawataachiwa tu,soon kosa hapo
Tatizo huna elimu ndo maana hujui hata kuandikaNi upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.
Hivi nyie watu wa Arusha kutumia msiba mkubwa huu tena unawahusu watoto kufanyia siasa, kweli akili zenu zinafanya kazi? Hawa watoto imefanyika kazi kubwa ya kuwanasihi ili huzuni iwatoke. Wameeanza kuzoea hali halafu linatokea jitu linatafuta umaarufu wa kisiasa linaenda kuwatonesha. Kwa nini usiwaite viongozi wa shule kufika ofisi ya meya kuchukuwa hicho mnachoita rambirambi? Tuwe wastaarabu.
Kujua kusoma na kuandika haitoshi kuwa sifa yanukuu wa mkoa nadhan serikali ifanyebmabdiriko ya haraka kabla hawa wanao jua kusoma na kuandika hawaja lipaka mmatope zaid taifa hili, mtu anaye jua kusoma pekee hatoshi.Gambo anawaenyesha balaa Arusha.
Meya wa Arusha, Kalist Lazaro na madiwani wawili wamenyimwa dhamana. Hapo awali waliambiwa dhamana ipo wazi na kuanza taratibu za kuwadhamini. Huenda kesho wakafikishwa mahakamani wakikabiliwa na kosa la kufanya mkusanyiko bila kibali .
Wanaoshikiliwa wengine ni Inocent Kisanyage ambaye ni Katibu wa Mbunge Lema,diwani wa kata ya Olasiti mh. Alex Martin na diwani wa kata ya Muriet mh. Credo Kifukwe.
WAFIKISHIE NA YANGU YA MDOMO mkuuWaje wanikamate na mimi, naelekea huko kutoa pole zangu direct kwa shule na wengineo...
Mapovu makali kiasi unachapia balaa. Kuhamasisha vurugu gani...nijibu akili yako ikitulia, maana saa hizi unatweta.Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.
Makalio mkuuMkusanyiko bila kibali ndani ya shule yake kweli how comes eeeh hivi hawa WAKUU wa mikoa wanafikilia kwa kutumia nini
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.[/QUOTE
Rudia kusoma ulicho andika.
Ni upuuxi tu hsmna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wsnskusanyika kwenye msiba hewa. Wafiwa wameagwa na taofa zima Makamu wa Rais na wabunge na Maaskofu; leo haea wanatumia masfa ya watoto weyu kuhamasisha vurugu. Ile n8 shule private, ya matajiri. Wanssoma watoto wa watu wenye uwezo. Msiba umekwisha madonra yameanza kupons wewe unaanza siasa. Wapuuzi wajinuni.