ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

TAIFA LENYE AMANI NA UTULIVU!!!

HIVI MKUU WA MKOA ANAWEZA KUWA YUPO NYUMBANI KWAKE KALEWA POMBE ANAPIGA SIM POLISI ANAWAAGIZA POLISI WAMKAMATE MTU FULANI NA AWEKWE NDANI.....UNAKAMATWA KWELI.

KUNA UMUHIM WA KILA MTU KUJILINDA MWENYEWE.
 
Acha chuki za kinafki na viongozi kisa ni wana CCM...lazima muheshimu mamlaka...
 
Acha chuki za kinafki na viongozi kisa ni wana CCM...lazima muheshimu mamlaka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kula rambirambi ni kuheshimu mamlaka eeh
kwa sababu hujaitwa kwenda kupokea hela za michango ili mzipige mnaona namna bora ni kuwakamata sio
mmelaaniwa! Endeleeni kupanda laana msijali mnakaribia mavuno
 
We mjinga sana..hujui haki zako utaendelea kuburuzwa mpk last minute
Mimi niburuzwe??? unaumwa mtindio wa ubongo....wewe ndo unajaribu kukataa kuburuzwa wakati huna uwezo wa kujiburuza....kule trump huku maghufuli hapa kazi tuuu
 
Tetty hujanielewa. Ukiisoma post yangu utaelewa kuwa mimi na wewe tunamshambulia mla rambirambi ila wewe unamshambulia kupitia kwangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole Mkuu maana Nina hasira naye huyo Mla Rambirambi! Na akina Mbeya watakuwa wamebugi kama watakuwa wameachaa pesa polisi.
 
Mimi niburuzwe??? unaumwa mtindio wa ubongo....wewe ndo unajaribu kukataa kuburuzwa wakati huna uwezo wa kujiburuza....kule trump huku maghufuli hapa kazi tuuu

Naona baada ya kuzikosa hasira mmehamishia kwa waleta rambirambi
 
cocochanel nikushauri tu usipende kitu sana mpaka ukapitiliza kwa sababu utashindwa kutoa mawazo katika usawa..

Nnaomba kukuuliza swali ,hivi unapokuwa na cheo chochote iwe ni cha kuteuliwa au kuchaguliwa hivi inakuondolea ile hali ya Ubinaadamu?..Nimekuuliza kwa sababu ktk mchango wako umehusisha tukio lile kuwa ni la kisiasa.

Tuna tofautishaje matukio ya kisiasa na yasio katika mlengo huo ?.

Jingine ile michango(rambirambi)kwa ajili ya wafiwa kutumiwa ktk matumizi ambayo sio lengo lake .(ref;Bukoba).Kwa nini mlifanya hivyo?.

Mwisho nikwambie tu sote tunaishi hapa Duniani na siku hazigandi,omba sana yasikukute ..
 
Mimi niburuzwe??? unaumwa mtindio wa ubongo....wewe ndo unajaribu kukataa kuburuzwa wakati huna uwezo wa kujiburuza....kule trump huku maghufuli hapa kazi tuuu
Subir kofia na T shirt maana ndio mishahara yenu ya nyie wehu wachache mnaotukwamisha
 
Pole Mkuu maana Nina hasira naye huyo Mla Rambirambi! Na akina Mbeya watakuwa wamebugi kama watakuwa wameachaa pesa polisi.
Wamegoma kuwaachia rambirambi. Nimesikia na diwani na Meya na wenye shule wao wameachiwa.
 
Kila kitu kinachotokea nchi hii iwe sherehe,njaa,msiba,etc ni siasa za lawama kwa serikali. Ndugu zangu tusubiri baada ya miaka 3 Watanzania wataamua kwasasa tuangalie maendeleo na kuunganisha Watanzania
 
Ukitaka kutembelea shule au kuna mkutano wa wazazi au mkutano wa shule ukaalikwa lazima uombe kibali cha kwenda ukienda bila ruhusa cha moto utakiona.
 
Nakumbuka kipindi Maghuful amemaliza kuwapisha Wakuu wa mikoa na Wilaya,alisema 'mna uwezo wa kumuweka yeyote ndani',hii kauli ilinishtua na kubaki najiuliza kulikuwa na muhimu gani? kulisema hil,sasa ndiyo nimeanza kuona kusudio lake
 
Unanisoma kwa macho mawili tu , ongeza jicho la 3 utanielewa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…