ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

BOTTOMLINE NI KUWA BASHITE DAUDI NA MRISHO GAMBO WALIWEKWA WALIPO MAKUSUDI KUVURUGA AMANI, VYAMA VYA WAPINZANI. THERE IS NO DOUBT ALIYEWAWEKA ANAWAJIBIKA NAO, FULLY INFORMED WANACHOKIFANYA, KWA BARAKA ZAKE.
 
Kama ndo waandishi hawa hawa wachochezi inatakiwa wapigwe na viboko kabisa...alafu walale central wiki mbili wakila pumba na maji...hakuna kulemba hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuu
Umeishia kidato gani umesoma kweli wewe au ni kilaza?
 
Nakumbuka kipindi Maghuful amemaliza kuwapisha Wakuu wa mikoa na Wilaya,alisema 'mna uwezo wa kumuweka yeyote ndani',hii kauli ilinishtua na kubaki najiuliza kulikuwa na muhimu gani? kulisema hil,sasa ndiyo nimeanza kuona kusudio lake

Kusudio ni kunyanyasa Wapinzani wake ndani ya CCM na nje ya CCM. Tumetoka kwenye tawala za visasi na chuki kwa miaka 20 iliyopita Tume ingia kwa tawala nyingine ya visasi na chuki sijui hii itadumu kwa miaka mingapi.Tawala za visasi na chuki zimeanza na Mkapa,zikaendelezwa na JK zinapaliliwa na JPM kwa sababu watangulizi ni wale wale waliyemchagua ni kama wao awe na visasi na chuki.
 
BOTTOMLINE NI KUWA BASHITE DAUDI NA MRISHO GAMBO WALIWEKWA WALIPO MAKUSUDI KUVURUGA AMANI, VYAMA VYA WAPINZANI. THERE IS NO DOUBT ALIYEWAWEKA ANAWAJIBIKA NAO, FULLY INFORMED WANACHOKIFANYA, KWA BARAKA ZAKE.

Utawala wa chuki na visasi wakimaliza na Upinzani itaendelea na wanaccm wenzake.Alisema JKN ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu haiishi.

Wamesahau Chuki hujenga utengamano.Kesho sijui watamlaumu nani.
 
Hawajachiwa.Dhamana ilikuwa wazi kama pale pesa zingepelekwa kwa Gambo.
A daylight robbery. Pesa zitolewe uraiani ambako ni salama halafu zipelekwe kwa mGambo? Haikubaliki kabisa hata ukitumia MAGAZIJUTO [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Arusha wanapelekwa pelekwa kama watoto na huyo boya.....huo upuuzi aupeleke mwanza au mbeya akaone moto.
Kule hawana siasa za kitoto kama za lema ulishawasikia wakitukana mkuu wa wilaya au mkoa kule wanajielewa.Lema ni tatizo
 
Ningefurahi kama haya wangesikia wengi. Tatizo andiko hili linasomwa na wachache tena wanaojitambua. Kwa hali hii sahau mabadiliko
 
Utawala wa chuki na visasi wakimaliza na Upinzani itaendelea na wanaccm wenzake.Alisema JKN ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu haiishi.

Wamesahau Chuki hujenga utengamano.Kesho sijui watamlaumu nani.
Ndiyo, sii umeona kwa Nape? Pamoja na yote aliyowafanyia katolewa bastola hadharani. Malima kataka kucharazwa shaba SAA sita mchana! Bado tutasikia mengi tuu, Mwigulu atwangwa rungu la kichwa na Green guard, yule aliyechapwa fimbo na Ndugai alipa kisasi, Makonda achapwa makonde na Wassira Lumumba nk nk.
Laana ikiingia mahali ni full matukio ya ajabu ajabu kutokea. Na ccm laana tayari.
 
Kule hawana siasa za kitoto kama za lema ulishawasikia wakitukana mkuu wa wilaya au mkoa kule wanajielewa.Lema ni tatizo
Ungesema hawana siasa za kitoto kama za Gambo, kwani lema ndio kawakamata watoa rambi rambi we bata maji?
 
Nimeona video Janeth Mushi anasema huyo Mkuu wa kituo eti hakuwakamata Bali alikuwa amewapa lift kwasababu hawana magari kitu ambacho kinaumiza zaidi wanadhalilisha watu jamani
 
Hivi Graduation za shuleni zinapofanyika huwa zinakibali? Hao walokwenda kuwaona wafiwa na wale wanaokwenda kwenye graduation kuna tofauti gani? Kama ni kusanyiko haramu wafiwa mbona hawakukamatwa? Mrisha Mugambo unajitafutia laana kubwa kabisa, Mnachezea msiba? Huku mitaani watu wanakufa na watu wanakusanyika kuzika na kuwahani na huwa hawana vibali mbona huwakamati??? Laana ya Mungu itakupata hasa kwa kukamata viongozi wa dini umejichimbia mkaa.
 
well articulated
 
Hii nchi kunajambo baya linaonekana mbele kutokana na viongozi kukosa busara na kukandamiza watu!! Hâta viongozi wa dini hawaoni wakalisemea?
 
TAIFA LENYE AMANI NA UTULIVU!!!

HIVI MKUU WA MKOA ANAWEZA KUWA YUPO NYUMBANI KWAKE KALEWA POMBE ANAPIGA SIM POLISI ANAWAAGIZA POLISI WAMKAMATE MTU FULANI NA AWEKWE NDANI.....UNAKAMATWA KWELI.

KUNA UMUHIM WA KILA MTU KUJILINDA MWENYEWE.
Yote hayo yana mwisho ni muda tu
 
Acha chuki za kinafki na viongozi kisa ni wana CCM...lazima muheshimu mamlaka...
Kwa kuwa ni mamlaka hata kama ni manyang'anyi, wauwaji, watekaji na wenye tamaa tuwahshim mpumbavu siku zote hujitambua ya kuwa ni mwenye akili kumbe ni pumbavu yawezekana na ww ulizaliwa hivyo toka tumboni kwa mamayo lkn amini wajinga ni sehem ya tatizo ktk nchi hii.
 
Ungesema hawana siasa za kitoto kama za Gambo, kwani lema ndio kawakamata watoa rambi rambi we bata maji?
Tatizo kubwa la arusha ni lema arusha hata ilipokuwa Na mkuu wa mkoa ambaye si mwongeaji mjifungia ofisini lema hakuisha vituko kutwa alikuwa akiitisha maandamano yasiyo na kichwa wala miguu Arusha mjini . Akikosa kisa ataanza kutukana raisi kuwa atakufa nk. Lema ana mapepo sio bure. Anahitaji watoa mapepo wamsaidie
 
Jamani lazima Juma Pawa Mataputapu ajue hii nchi sio ya kwake yeye amechaguliwa kuongoza tu na muda wake unakwisha haraka sana. Tunajua wateule wake wamemuandalia exit door mapema kwa hizi style zao za kishamba.
Shimeshime wananchi hawa watu lazima tuwatoe mapema na kuwakamata tuendelee kukusanya ushaidi kwa sanduku la kura tu.
Tuanze kuandika sera mapema na UKAWA ifanyiwe major reform viongozi wote wapishe watu wapya watatafutiwa kazi ushindi ukipatikana serikalini. Jeshi la polisi tunalifuta kabisa na kazi zao zitaamia JW, siro na wakuda wenzie wanastahili jela au kupigwa risasi.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…