Ccm ni janga la TanzaniaKipindi ambacho watoto wetu wanahitaji wataalam wa tiba za saikolojia ili kuwapa nasaha baada ya kupoteza marafiki zao, wanasiasa wapumbavu wanatafuta umaarufu!
Wale watoto akili zao hazijakaa vizuri, ugeni wa watu ambao sio wale waliozoeleka hapo shuleni vinaamsha majonzi upya! Wanasiasa acheni uharamia na tamaa!
Nimetafuta tusi zito limekosa,........Mungu nipe moyo wa uvumilivu!
Walitaka kuzipiga hizoKwa nini tunashindwa kutumia akili kidogo tu?
Kwani wafiwa wakipewa mkononi na walioko mbali shule ikainjinia mpango wa kuwapelekea tutapungukiwa na nini?
Umeomaee?Karibuni tu nitawabatiza akina Gambo na Makonda kwa majina yao mapya na kutukuka kabisa ya ' Kulwa ' na ' Doto '.
Maccm ni majizi yaani hata rambirambi?Wewe mbona ulikula rambi rambi kwenye msiba wa jirani yenu..alafu sa hv unajidai kushutumu watu...nyani haoni kundule
Walochanga wanajua pesa imetumika inavyotakiwa ila nyie ambao hata mia hamkutoa kelele mitaaniRudisheni rambirambi za wafiwa
Hii ni laana kabisa.CCM Chama ni janga la kitaifa.
Ni kweli mkuu,lakini nadhani wenye uwezo wa kushawishi mabadiriko hayo ni polisi wenyewe,kwasababu ndio wanachonganishwa na raia kila mara.Kuna haja ya sheria zetu kufanyiwa marekebisho, police wawe wanapewa amri na baadhi ya maofisa tu tena wenye weredi, tutakua tunawalaumu bure police kwa kutumiwa na baadhi ya viongozi ili kulinda maslahi yao lakini sheria zetu ndio zenye tatizo, police anachotakiwa ni kutii tu hata kama hakubaliani na hilo jambo.
Hapo umemlenga nani? Kama ni waliokamatwa umefanya makosa kwani idadi kubwa ya waliokwenda ni wazazi,viongozi wa dini,wanahabari na katika taarifa meya amealikwa hivyo acha ukali kwa kuona rambirambi zimepita kushoto.Kipindi ambacho watoto wetu wanahitaji wataalam wa tiba za saikolojia ili kuwapa nasaha baada ya kupoteza marafiki zao, wanasiasa wapumbavu wanatafuta umaarufu!
Wale watoto akili zao hazijakaa vizuri, ugeni wa watu ambao sio wale waliozoeleka hapo shuleni vinaamsha majonzi upya! Wanasiasa acheni uharamia na tamaa!
Nimetafuta tusi zito limekosa,........Mungu nipe moyo wa uvumilivu!
Kama ndo waandishi hawa hawa wachochezi inatakiwa wapigwe na viboko kabisa...alafu walale central wiki mbili wakila pumba na maji...hakuna kulemba hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuu