Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ccm ni janga la TanzaniaKipindi ambacho watoto wetu wanahitaji wataalam wa tiba za saikolojia ili kuwapa nasaha baada ya kupoteza marafiki zao, wanasiasa wapumbavu wanatafuta umaarufu!
Wale watoto akili zao hazijakaa vizuri, ugeni wa watu ambao sio wale waliozoeleka hapo shuleni vinaamsha majonzi upya! Wanasiasa acheni uharamia na tamaa!
Nimetafuta tusi zito limekosa,........Mungu nipe moyo wa uvumilivu!