ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Hayo ni maombi yako.....ili upate kiki ya mtaani....
Sihitaji kiki ya LAANA
hayo ni maombi yenu nyinyi mnaosapot hio laaana na huyo mkuu wa mkoa ndo mana mnafikia hatua ya kukamata na kutumia vyombo vya usalama kwa selfish reasons zenu, kwamba mmeona sasa watu wanaenda direct mnaona mtakosa ulaji wa rambirambi mnaona ngoja tuwakamate tu.
 
Jamani hii ni kituko cha mwaka, unampangia mtu nani akampe rambirambi. Tangu lini kwenda kuhani msiba ukageuzwa kuwa mkusanyiko usio na kibali
 
Reactions: BAK
Hao lazima wapandishwe kizimbani kwa kosa la kuwafikishia wagonjwa uji moja kwa moja!

Uji wa wagonjwa ni lazima upite kwanza mikononi mwangu ili niuchujechuje..si mnajua tena "mabuja"
 
Mmmh. Kuna watu wanapiga deal kwenye hizi rambirambi sio siri
 
Hizi kamata kamata zisizo na msingi zinachosha! Full ubabe yaani.
 
du kaka umenifumbua, mara ya 3 watu hawatachangia kama maafa yakitokea, inasikitisha sana
 

hahaha kwahiyo kosa sio tena kukusanyika bila kibali bali ni kuibua majonzi kwa wanafuzni??

mkuu huu upumbavu nenda kadanganyane na house girl wako.
 
Mpaka Paroko na wachungaji wameisoma namba,kweli ccm haina maana

Tusishangae jamani,hawa wanajua "kusoma na kuandika"
 
Jeshi la Polisi limesema, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ndiye aliyetoa amri ya kukamatwa kwa walioenda kutoa salamu za rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent leo.

====
UPDATES:

Waandishi zaidi ya 8 waliokamatwa Arusha leo ktk utoaji rambirambi kwa Lucky Vicent wameachiwa, Polisi wawaambia waliwapa lift tu.
 
hii awamu inajidhalilisha
kwanza si aminifu tumeshuhudia rambirambi zikipotea meaning haina msaada kwa wananchi sasa wengine wamesaidia wao wanawakamata

watanzania tukatae huu upuuzi this is too much
 
heheheee mbele kwa mbele mliojipanga mifoleni kusema mmechagua jembe sasa linawalima...... πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ mtajijua na bosi wenu na mkome 2020 mrudie tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…