Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Polee wafiwa, na marehemu apumzike salama.
 
Hicho chumba Cha mpangaji Kuna uwalakini!
1. Huyo mpangaji ni jinsia Gani?
2. Huyo mpangaji hafanani na hicho kichanga Cha Mzee?
3. Huyo mpangaji alikuwa wapi?
4. Huyo Mpangaji yupo wapi sasa?
Kachanga ni damu ya mpangaji

 
Mwanamke Kabila Gani?
Mpangaji Kabila Gani? Anaitwa Nani? Je alitoka saa ngapi? Huwa hafungi chumba chake?
Hapo kuna utata, lazima mke na mpangaji wanajua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…