King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yameshanikuta mengi sana ndugu yangu, hata sasahv hapa nilipo nina jaribu kubwa tu lakini pombe haijawahi kuwa dawa ya Stress na Depression.Sawa Mkuu, ngoja yakukute!
Mengi watoto aliozaa na Jack bado hawajaanza ila maisha yanasonga, chamsingi pesa tu ziwepo
Hahahahahahaaaa,unavuta bangi kwanza ndo unatinga kazini,duniliwahi kufanya kazi taasisi moja ya afya iliyoko chini ya wahindi..basi receptionist mmoja alikuwa anagongwa na meneja mhindi alikuwa ananizingua balaa ili niache kazi yeye amlete ndugu yake...nikaamua asubuhi kabla sijaingia kazini navuta bangi jicho linakuwa jekunduu...wale maboya walikuwa wakiniona wananikwepa ...nilipotimiza malengo yangu nikasepa.
Ndugu usije ukajinyonga ukamwacha yule mke wako mzuri uliempata hapa JF😁😁😁Huo ujumbe mzito uko wapi?
Ni mzigo Kwa maskini lakini Kwa tajiri hamna mzigo hapo,tafuteni Hela msiendekeze ngono,ukiwa tajiri tunakuruhusu kuzaa hata kama umefika miaka 80,maskini kuzaa mwisho miaka 30,kwasababu mzigo utakuelemea badayeMiaka 60 mwanao hajaanza hata sekondari
Unawaachia watu mzigo.
Nimewaza kama wewe lakini nikakumbuka marehemu ameacha kichanga kama unauzoefu utakubaliana na mimi mara nyingi usiku vitoto vichanga hua vinasumbua hivyo yaweza Kua muda mwingi mama anakesha ile alfajiri ndo anapitiwa na usingizi mme nae kwa upendo na huruma akaona asaidie mkewe kuandaa huyu mtoto mkubwa ampitishe shule sio mbaya.Mume anaamka saa 11 kujiandaa kwenda kazini mwanamke kavuta zake shuka mpaka usingizi ulipokata hiyo saa 1 na robo na kushtuka mtoto hajapelekwa shule, kwa kawaida ya wamama huwa sio rahisi kutokumshuhudia mume/watoto wakijiandaa na hata kuagana waendapo kazini/shule.
Apumzike kwa amani[emoji1431].
Usiseme hivyo dunia inazunguka hii.Kweli kabisa ,,ndio maana Mimi nilipata mtoto nna 26 na Sasa ni mchaka mchaka tu wakupambana sifikiri tena kuzaa
Mkuu ulichosema ni sahihi kabisa, sipingi. Tatizo ni wapi utapata mtu wa kukufariji. Ilishanitokea.Yameshanikuta mengi sana ndugu yangu, hata sasahv hapa nilipo nina jaribu kubwa tu lakini pombe haijawahi kuwa dawa ya Stress na Depression.
Mwombe Mungu, Mwamini yeye halafu mwachie mizigo na changamoto zako atakutetea tu with time.
At last, utagundua pombe inakuharibu zaidi.
Inazuiliwa kisheria ama ni mawazo yenu ya kijinga.Duu miaka 50, ana mtoto mchanga!!!!
Mungu ampumzishe panapostahili
Ushafikiria baba ana miaka 28 ana watoto wawili wadogo,halafu anafariki!?Miaka 60 mwanao hajaanza hata sekondari
Unawaachia watu mzigo.
Maswali fikirishi na yenye kuhitaji majibuHicho chumba Cha mpangaji Kuna uwalakini!
1. Huyo mpangaji ni jinsia Gani?
2. Huyo mpangaji hafanani na hicho kichanga Cha Mzee?
3. Huyo mpangaji alikuwa wapi?
4. Huyo Mpangaji yupo wapi sasa?
HahaaInazuiliwa kisheria ama ni mawazo yenu ya kijinga.
Jay z ana miaka mingap? Kapata watoto akiwa na umri gani (mtoto wa mwisho)
Acheni kuleta sheria zenu za kishmundu kwA kila mtu
Humu wengi tumezaliwa na wababa miaka 30-45 ila Maisha yao magumu na tumekua ivyo ivyo kwa msaada wa ndugu na jamaaHahaa
Tusamehe tumekosa 😅😅
ila kweli ujue, maana ukiwa na pesa hata ukiwa na miaka 90 unazaa....
Coz watoto wanakuwa na uhakikaa
Dunia imebadilika lakini Boss wangu, watu wamekuwa selfish sanaa....Humu wengi tumezaliwa na wababa miaka 30-45 ila Maisha yao magumu na tumekua ivyo ivyo kwa msaada wa ndugu na jamaa
Leo dingi wa miaka 30 kuzaa ishakuwa nongwa
Ni mzigo Kwa maskini lakini Kwa tajiri hamna mzigo hapo,tafuteni Hela msiendekeze ngono,ukiwa tajiri tunakuruhusu kuzaa hata kama umefika miaka 80,maskini kuzaa mwisho miaka 30,kwasababu mzigo utakuelemea badaye