Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Kuna nyumba zinakuaga na fensi, wanaishi mwenye nyumba na mpangaji mmoja TU.

Hapo mashaidi unawatoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba yao hatujaiona hata hivyo. Anyway, assuming uko sahihi autopsy itatoa majibu, mfano mke anasema marehemu alielekea kuoga saa 11 kama jamaa hakujivuta vuta na akanyoosha kwenda kujinyonga means ndani ya dakika nne ndiyo mauti yalimkuta.

Hence kwa muda mwili umekutwa inatarajiwa rigor mortis iwe bado. Walioukuta mwili watasema.

Either way mi nahisi chumba cha mpangaji ni cha mwanamke ndiyo maana mke alichungulia akidhani mumewe atakua humo ndani akifanya mapenzi na mpangaji. Ambacho sielewi ni kivipi chumba cha mpangaji kilikua wazi saa 11.
 
Kuna akili inanambia marehemu alinyongwa.

Huenda karudi usiku wa manane,
Kamfumania mkewe anagongwa chumba Cha mpangaji.

Katika purukushani mfumaniaji kauwawa.

Kuua Soo ikabidi yatengenezwe mazingira ya fasta ionekane kajinyonga mle mle ndani.

STAGED CRIME SCENE[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda hata sio kumfumania tu ila kuna uwezekano mke amem poison mumewe ili awe huru na mchepuko.

Na ndio maana kaingizia kuwa recently mwamba alikuwa na tatizo amoeba hivyo kulalamika tumbo kumuuma. Hii ni kuua soo kuwa alimlisha sumu.

To make shit worse akaamua akautundike mwili kwenye room ya mpangaji na kanga yake ili apoteze ushahidi kinamna flani na kusindikiza na ujumbe kwenye karatasi. Ila maelezo alivyoyatoa doesn’t count at all.

Hawa watu huenda walikuwa na sort of mgogoro na obviously ni case ya mke hakuwa muaminifu sababu wanaomjua jamaa wanasema alikuwa mzungu wa roho. Kwa attitude ya wanaume design hii huwaga mandezi sana kwa wanawake na kugongewa huwa ni swala la muda tu. Huenda jamaa alishagundua mkewe anagongwa wakawa wanagombana mara kwa mara.
 
Yaani mfanyakazi mwenzako akukere mpaka uamue kujiua?....

Jamaa ameiacha familia yake kwenye wakati mgumu sana.....ni vizuri kufikiria madhara ya yatakayowapata watu wako wa karibu/familia kabla ya kuchukua uamuzi wa hatari.
Muhimu sana
 
Vipi kama hiyo shida ya tumbo alipimwa akaambiwa ni saratani na anahitajika kukatwa utumbo?.

Watu wengine hawana uwezo wa kuhimili taarifa ngumu ngumu.

Najaribu kuwaza tu.
 
Huenda hata sio kumfumania tu ila kuna uwezekano mke amem poison mumewe ili awe huru na mchepuko.

Na ndio maana kaingizia kuwa recently mwamba alikuwa na tatizo amoeba hivyo kulalamika tumbo kumuuma. Hii ni kuua soo kuwa alimlisha sumu.

To make shit worse akaamua akautundike mwili kwenye room ya mpangaji na kanga yake ili apoteze ushahidi kinamna flani na kusindikiza na ujumbe kwenye karatasi. Ila maelezo alivyoyatoa doesn’t count at all.

Hawa watu huenda walikuwa na sort of mgogoro na obviously ni case ya mke hakuwa muaminifu sababu wanaomjua jamaa wanasema alikuwa mzungu wa roho. Kwa attitude ya wanaume design hii huwaga mandezi sana kwa wanawake na kugongewa huwa ni swala la muda tu. Huenda jamaa alishagundua mkewe anagongwa wakawa wanagombana mara kwa mara.
Kumuinua Mtu wa kilo 60-70?, hata kama huyo Mwanamke ni baunsa bado hiyo si kazi rahisi hata kidogo Mkuu, labda kama alipata usaidizi.
 
Kumuinu Mtu wa kilo 60-70 labda kama huyo Mwanamke ni baunsa...hiyo si kazi rahisi hata kidogo Mkuu, labda kama alipata usaidizi.
Huyo amebebwa na hawara wake wakamtundika tena hio ni mishe ya midnight!
 
Sio kweli, hajajinyonga, chunguza penshemi ya kustaafu ni kiasi gani, na amebakisha siku ngapi kustaafu udereva, na beneficiary next in line ni nani?
This is strange, kama mke amehusika basi ana roho ya kikatili sana
 
Back
Top Bottom