Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Poleni sana Familia ya Buchard.
Huyu Braison mshabiki mkubwa wa Yanga.
Mungu amsamehe makosa yake.
 
“Kila mtu aliejinyonga, amenyongwa au ameuawa na kutundikwa UNTILL iwe proven vinginevyo “

Check kidogo hii Locards law of exchange of trace

In forensic science, Locard's principle holds that the perpetrator of a crime will bring something into the crime scene and leave with something from it, and that both can be used as forensic evidence. Every contact leaves a trace
 
Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga.
Poleni wafiwa
====
Hiyo nukuu mbona haita " tally"?
 
Mume anaamka saa 11 kujiandaa kwenda kazini mwanamke kavuta zake shuka mpaka usingizi ulipokata hiyo saa 1 na robo na kushtuka mtoto hajapelekwa shule, kwa kawaida ya wamama huwa sio rahisi kutokumshuhudia mume/watoto wakijiandaa na hata kuagana waendapo kazini/shule.

Apumzike kwa amani[emoji1431].
 
Hapa tena habari haieleweki, kutishiwa kufukizwa kazini ndio chanzo cha mtu kujinyonga? Sio kweli; huo muandiko wa kwenye barua uchunguzwe herufi kwa herufi kulinganisha na mwandiko wake ambao alikuwa ameandika kwingine, kuna namna hapo. Tubuni sasa, damu yake haitotuacha salama, na malizieni bwawa la Nyerere kama redemption.
 
Hicho chumba Cha mpangaji Kuna uwalakini!
1. Huyo mpangaji ni jinsia Gani?
2. Huyo mpangaji hafanani na hicho kichanga Cha Mzee?
3. Huyo mpangaji alikuwa wapi?
4. Huyo Mpangaji yupo wapi sasa?
Ndio nikasema taarifa haieleweki, vurugu tupu, alafajiri mpangaji alikuwa kaenda wapi asubuhi yote, na funguo huwa anamwachia nani?
 
Kunakuaga na gradual decision making kuelekea kuamua kujiua.

A person never wakes up na kuamua leo najiondoa duniani.
Sure.Kuanza kutrace sababu za kujinyonga kwa kuangalia tukio la siku moja au mbili kabla lazima utaishia kupata sababu ya uongo.Hii ni accumulation ya mambo tena ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom