Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Daaah kaacha msalaba mzito sana naeza kuamini higo sababu yq mke kazini kumekua na chuki sana maofisini fitina,majungu,chuki na dharau zimejaaa
Si angeacha kazi kama alivyoiacha kwa njia hii Ila angekua na familia yake?
 
Awamu hii..

Kila Zama na kitabu chake...

Wa ajali..wa Moto...sasa wa kunyongana..
 
Kujitoa uhai ni hatua na uamuzi wa mwisho wa mtu aliyelemewa na mizigo ya misongo ya mawazo pasi na mtu wa kumtua........

Harakati za kimaisha na ugumu wa maisha imeifanya jamii yetu iwe ni ya watu wenye kuhangaika muda wote na hata kukosa muda wa kujaliana na kuishi kama wanyama wa mwituni.........
 
Kama kipato kinaruhusu au ulichelewa kuo,Miaka 50 still kijana
Sijui jamii imekumbwa na nini kwenye masuala ya umri mbona miaka hamsini(50) bado mtu ana nguvu zake kabisa....??

Jamii yetu ya Sasa inachangia sana kuwapa msongo wa mawazo vijana kwa kuwapimia mafanikio yao kwa umri hivyo kuwapelekea kukata tamaa na maisha.........

Vijana wajitahidi sana wasiishi maisha kwa mitazamo ya wanajamii Bali kulingana na malengo na mitazamo yao.....
 
Back
Top Bottom