uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Huo ujumbe mzito uko wapi?
Ujumbe wa kijinga, siku si nyingi mtasikia mke anahusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ujumbe mzito uko wapi?
Mfanyakazi wa Benki ya DTB, Jijini Arusha, Bryson Burchad (50) mkazi wa Ngusero jijini hapa,amejinyonga hadi kufa katika chumba Cha mpangaji wake kwa kutumia Kanga ya mkewe aliyoomba kwa lengo la kwenda kuoga huku akiacha ujumbe mzito kwa mkewe.
"Mke wangu Rose nisamehe kwa uamuzi niliochukua asilaumiwe mtu yoyote kwenye tukio hili ni uamuzi wangu mwenyewe,Dada zangu na mama ester mtunze wifi yenu na watoto wangu" ujumbe wa karatasi alioacha marehemu uliokutwa ndani ya suruwali yake.
Mwili wa marehemu uligundulika mapema leo majira ya saa moja asubuhi wakati mkewe,Rose Baraza akijaribu kumtafuta marehemu ili ampeleke mtoto shule .
Akiongelea tukio hilo Mke wa marehemu,(Rose) alisema kuwa majira ya saa 11alfajiri leo marehemu mumewe ambaye alikuwa ameajiriwa kama dereva katika benki hiyo, alimwomba kanga ili akaoge kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.
Alisema ilipotimu saa moja na robo asubuhi alishituka usingizini kukuta mtoto wa shule Bado yupo nyumbani wakati marehemu huwa na kawaida ya kumpeleka shule majira ya saa moja asubuhi.
"Nilishtuka saa moja na robo asubuhi kuona mtoto hajapelekwa shule niliangalia vitu vyake ikiwemo simu yake ,nguo za kazini nikaona zipo nikabaki kushangaa huyu mtu atakuwa ameenda wapi,ndo baadaye wakati namtafuta nikaona kupitia dirisha amejinyonga kwenye chumba Cha mpangaji wetu"alisema.
Alisema baada ya kushuhudia tukio hilo alipiga kelele na baadaye majirani kukusanyika na kutoa taarifa polisi ambao walifika na kushuhudia mwili wa marehemu ukining'inia ikiwemo ujumbe wa barua katika suruwali ya marehemu.
Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga.
Hata hivyo mke wa marehemu alifafanua kuwa marehemu aliwahi kumweleza kuwa pale kazini anaugomvi unaotishia kibarua chake na mfanyakazi mwenzake(hakumtaja)na kumfanya akose raha, Jambo ambalo lilimsababisha marehemu awe anakunywa pombe kupita kiasi kutokana na msongo wa mawazo.
Marehemu ameacha watoto wanne akiwemo mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi Mmoja na wiki tatu, Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba Cha maiti katika hospital ya Mkoa wa Arusha ya Mt .Meru.
View attachment 2098766
Haya maelezo hayaendani na tukio halisi! Mtu ajinyonge na kuacha ujumbe bila sababu. Kuna namna hapoMfanyakazi wa Benki ya DTB, Jijini Arusha, Bryson Burchad (50) mkazi wa Ngusero jijini hapa,amejinyonga hadi kufa katika chumba Cha mpangaji wake kwa kutumia Kanga ya mkewe aliyoomba kwa lengo la kwenda kuoga huku akiacha ujumbe mzito kwa mkewe.
"Mke wangu Rose nisamehe kwa uamuzi niliochukua asilaumiwe mtu yoyote kwenye tukio hili ni uamuzi wangu mwenyewe,Dada zangu na mama ester mtunze wifi yenu na watoto wangu" ujumbe wa karatasi alioacha marehemu uliokutwa ndani ya suruwali yake.
Mwili wa marehemu uligundulika mapema leo majira ya saa moja asubuhi wakati mkewe,Rose Baraza akijaribu kumtafuta marehemu ili ampeleke mtoto shule .
Akiongelea tukio hilo Mke wa marehemu,(Rose) alisema kuwa majira ya saa 11alfajiri leo marehemu mumewe ambaye alikuwa ameajiriwa kama dereva katika benki hiyo, alimwomba kanga ili akaoge kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.
Alisema ilipotimu saa moja na robo asubuhi alishituka usingizini kukuta mtoto wa shule Bado yupo nyumbani wakati marehemu huwa na kawaida ya kumpeleka shule majira ya saa moja asubuhi.
"Nilishtuka saa moja na robo asubuhi kuona mtoto hajapelekwa shule niliangalia vitu vyake ikiwemo simu yake ,nguo za kazini nikaona zipo nikabaki kushangaa huyu mtu atakuwa ameenda wapi,ndo baadaye wakati namtafuta nikaona kupitia dirisha amejinyonga kwenye chumba Cha mpangaji wetu"alisema.
Alisema baada ya kushuhudia tukio hilo alipiga kelele na baadaye majirani kukusanyika na kutoa taarifa polisi ambao walifika na kushuhudia mwili wa marehemu ukining'inia ikiwemo ujumbe wa barua katika suruwali ya marehemu.
Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga.
Hata hivyo mke wa marehemu alifafanua kuwa marehemu aliwahi kumweleza kuwa pale kazini anaugomvi unaotishia kibarua chake na mfanyakazi mwenzake(hakumtaja)na kumfanya akose raha, Jambo ambalo lilimsababisha marehemu awe anakunywa pombe kupita kiasi kutokana na msongo wa mawazo.
Marehemu ameacha watoto wanne akiwemo mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi Mmoja na wiki tatu, Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba Cha maiti katika hospital ya Mkoa wa Arusha ya Mt .Meru.
View attachment 2098766
Mimi sijasomea intelijensia lakini maelezo hayo yanaacha maswali mengi sana.Mfanyakazi wa Benki ya DTB, Jijini Arusha, Bryson Burchad (50) mkazi wa Ngusero jijini hapa,amejinyonga hadi kufa katika chumba Cha mpangaji wake kwa kutumia Kanga ya mkewe aliyoomba kwa lengo la kwenda kuoga huku akiacha ujumbe mzito kwa mkewe.
"Mke wangu Rose nisamehe kwa uamuzi niliochukua asilaumiwe mtu yoyote kwenye tukio hili ni uamuzi wangu mwenyewe,Dada zangu na mama ester mtunze wifi yenu na watoto wangu" ujumbe wa karatasi alioacha marehemu uliokutwa ndani ya suruwali yake.
Mwili wa marehemu uligundulika mapema leo majira ya saa moja asubuhi wakati mkewe,Rose Baraza akijaribu kumtafuta marehemu ili ampeleke mtoto shule .
Akiongelea tukio hilo Mke wa marehemu,(Rose) alisema kuwa majira ya saa 11alfajiri leo marehemu mumewe ambaye alikuwa ameajiriwa kama dereva katika benki hiyo, alimwomba kanga ili akaoge kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini.
Alisema ilipotimu saa moja na robo asubuhi alishituka usingizini kukuta mtoto wa shule Bado yupo nyumbani wakati marehemu huwa na kawaida ya kumpeleka shule majira ya saa moja asubuhi.
"Nilishtuka saa moja na robo asubuhi kuona mtoto hajapelekwa shule niliangalia vitu vyake ikiwemo simu yake ,nguo za kazini nikaona zipo nikabaki kushangaa huyu mtu atakuwa ameenda wapi,ndo baadaye wakati namtafuta nikaona kupitia dirisha amejinyonga kwenye chumba Cha mpangaji wetu"alisema.
Alisema baada ya kushuhudia tukio hilo alipiga kelele na baadaye majirani kukusanyika na kutoa taarifa polisi ambao walifika na kushuhudia mwili wa marehemu ukining'inia ikiwemo ujumbe wa barua katika suruwali ya marehemu.
Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga.
Hata hivyo mke wa marehemu alifafanua kuwa marehemu aliwahi kumweleza kuwa pale kazini anaugomvi unaotishia kibarua chake na mfanyakazi mwenzake(hakumtaja)na kumfanya akose raha, Jambo ambalo lilimsababisha marehemu awe anakunywa pombe kupita kiasi kutokana na msongo wa mawazo.
Marehemu ameacha watoto wanne akiwemo mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi Mmoja na wiki tatu, Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba Cha maiti katika hospital ya Mkoa wa Arusha ya Mt .Meru.
View attachment 2098766
Futa kauli kumbuka upo ndani ya dunia hii .
RipHuyu mtu namfahamu, kuna kipindi alishaniendesha huko kaskazini katika mihangaiko yangu ya duniani. Alikuwa mstaarabu sana, Apumzike kwa amani.
Mwenyewe nimeshtuka. Mtu kafiwa na mumewe anaongea kama chiriku.Mwanamke anajua kila kitu, wambane makalio na koleo atasema
Anambishia nani sasa!?Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga
Hata mimi hiki nimekiwaza pia.Labda kapima kakuta ana ngwengwe kachukua maamuzi magumu.
Ebu huyo mkewe akapime kwanza .
Ukipangiwa kufa hivi tangu pindi tu umezaliwa haikwepeki sister. Usikute hata yeye alipokuwa mzima akisoma na kusikia matukio ya wanaojinyonga anawashangaa.At the age of 50 anajinyonga, siku hizi kujinyonga imekua jambo la kawaida sana
Halafu ana mtoto wa mwezi mmoja maskini
Msihukumu judgemental. Pia unaweza na pia inaweza kuwa maswala mengine ya kisaikolojia.Hata mimi hiki nimekiwaza pia.
Wewe umeona hukumu imetolewa hapa???Msihukumu judgemental. Pia unaweza na pia inaweza kuwa maswala mengine ya kisaikolojia.
Tuelekeze tuje kwako ni wapi vile,mizigo imezidiSijui kwanini watu wengi wanaamua kunywa pombe wakiamini ndio njia ya kuondoa stress/depression
''Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha''.
MATH 11:28-30