Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM
* Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM;
Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM.
* Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana;
* Kwa msingi huo wote wawili CCM iwatose na kuja na mgombea asiyekuwa na makundi