Heavy Heritage
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 130
- 80
Na Hapaaaaaa⌚⌚⌚⌚⌚⌚⌚Na Hukuuuuu👑👑👑👑👑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wewe kila siku unapigwa na shetani ukipona unarudi tena?wanawake wazidi kudhihirisha ushetani wao.
Rip Daud.
Mngh!😳Kawakilisha vyema kabisa.
Chuga oyee
Mimi sina ubavu wa kupiga mtu so akitokwa wa kuwakilisha kama hivi naona raha sanaBaby, Aziz K nipo hapa, usiwe unanipiga basi!
Huyu ndio bwege wa mabwege, yaani kubeba kote tofali hakujamsaidiaMwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Nilijua sisi wanaume wa Dar tu ndio legelege!Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Hahahaha sio kwamba mademu wa Arusha nao kama wadudu tu, bange nyingiHuyu nadhani kwenye vikao vya wanaume alikuwa hahudhurii
Ataenda mbinguniDaudi kazingua
Huyo bwegge mie mwanamke hawezi nipiga...nitampiga kofi moja anakija zinduka hospital.Njoo uone mnapigwa na vibonge kutoka chuga😂
mzabzab
Utampigaje mwanamke mwenye takoHuyo bwegge mie mwanamke hawezi nipiga...nitampiga kofi moja anakija zinduka hospital.
Mie ni muumini mwanamke lazima umzabue makofi from time to time
Hyo yapili jamaa allioa mtaal wa taikondo😂😂Video hii hapa😁😁