Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.

Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.

Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.

Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.

Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
RIP Daudi.........ila wanawake wasombetini ni species nyingine kbsaa aisee
 
Huyo marehemu ni mpuuzi!!!,,,,,,,,,,"bora ata aziz k"
 
Ndio kila mara we anapigwa na avumilie tyuh? Huu ni uongo kubalini jamaa hakua na nguvu kumzidi mkewe, ndo maana akawa anabondwa.
Hakuna hiyo kitu!inahitajioa ngumi Moja tu kwa mwanamke anakufa hapo hapo!ngumi moja tu ukikosea ukampiga mwanamke anakufa papo hapo!

We ona wanashirikiana na watoto kumpiga baba hivi unapata wapi nguvu za kupigana na mtoto wako na make kwa pamoja!!?zaidi ya kubaki unashangaa tu Hadi kifo!!?

Hapo ulipo mtoto wako uliemzaa akikuchukulia Rungu akupige unadhani utakua na nguvu za kumpiga au kupigana!!?Ganzi mwili mzima na hata maarifa ya kupigana au kukimbia huna!
 
Yaani unafanikiwa kumlaza kifo cha mende, chuma mboga, mbuzi kagoma, kiboti majini, kuna nazi na mikao kadha bado anipige!!!?🙄🙄
 
Mimi mwanamke akianza kuleta kelele ndogo ndogo kama vile mbona hunipigii simu, hunitext, naona uko bize... huwa naachana naye hapo hapo. Hizo huwa dalili za mwanamke mtemi anayetaka sheria zake zifuatwe.
 
Back
Top Bottom