ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Hapo huoni haki za binadamu wakilaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Daudi.........ila wanawake wasombetini ni species nyingine kbsaa aiseeMwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Ngoja tuone ntakavyokusaidiaBasi nitumie hela ya lunch nimefulia mwenzio
Nataka pizza na burgerNgoja tuone ntakavyokusaidia
Eehh aisee watu waache kucheza na moto 🙄 watapoteaVideo hii hapa😁😁
🤣🤣🤣 nilikuwa naitafuta hii commentNdio kila mara we anapigwa na avumilie tyuh? Huu ni uongo kubalini jamaa hakua na nguvu kumzidi mkewe, ndo maana akawa anabondwa.
Huyo marehemu ni mpuuzi!!!,,,,,,,,,,"bora ata aziz k"Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Ole wenu!Ngoja na sie tumpate mnyonge tumdunde
Hakuna hiyo kitu!inahitajioa ngumi Moja tu kwa mwanamke anakufa hapo hapo!ngumi moja tu ukikosea ukampiga mwanamke anakufa papo hapo!Ndio kila mara we anapigwa na avumilie tyuh? Huu ni uongo kubalini jamaa hakua na nguvu kumzidi mkewe, ndo maana akawa anabondwa.
HatutishikiOle wenu!
Hakuna harakati, hapa kuna janja janja.Hapo wana harakati uchwara huwezi kuwaona.
Tutawaua🤣Hatutishiki
Na ndio lengo lenu toka zamani mtuue mbaki wenyewe duniani. Uzuri hela tunazo sisi wanaume 🤣🤣🤣🤣🤣Tutawaua🤣
Mkifa mtaziacha.Na ndio lengo lenu toka zamani mtuue mbaki wenyewe duniani. Uzuri hela tunazo sisi wanaume 🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari sana
Nadhani ye alikuwa anajiona shujaa kweli kweli kuweza "kumpiga mwanaume"
SHIDA YA MAJANIMnaosema wanawake ni viumbe dhaifu mnaitwa huku.RIP kaka