johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimerudia kutuma tena kule PMNi kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahabusu nao kwa upande wao pia walimfanyia ukarimu wa hali ya juu kabisa kwa kumpaka mafuta ya "BEBI CARE" mwili mzima, baridi isimkaushe ngozi.Ni kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆😆Ni kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mheshimiwa huyo,Sema jambazi Sabaya.Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani.
Afande Mwanagwa amesema Ole sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani.
Source: Ayo tv
Yeye yupo Gerezani.Maagizo kutoka juu au?
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Mahabusu nao kwa upande wao pia walimfanyia ukarimu wa hali ya juu kabisa kwa kumpaka mafuta ya "BEBI CARE" mwili mzima, baridi isimkaushe ngozi.