Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
ni lazima , kule kila kitu ni amri, tatizo pale mahabusu arusha ukiingizwa tu mahabusu wenzako wanakulazimisha kuoga. hilo ndo alilogomaHivi ukiwa gerezani kuoga ni lazima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni lazima , kule kila kitu ni amri, tatizo pale mahabusu arusha ukiingizwa tu mahabusu wenzako wanakulazimisha kuoga. hilo ndo alilogomaHivi ukiwa gerezani kuoga ni lazima?
Duh yani mwamba alidanganya akiwa Masjid? Kwenye nyumba ya ibada? 😆😆😆
Adui akianguka unatakiwa ufurahi, mchuma janga hula na wakawaoNI kweli.
ILA MTU yeyote anaweza akapelekwa kule.uwe na hatia au usiwe nayo.
Sio sehemu ya kufurahia MTU kupelekwa
Kwahiyo wamemuogesha sioni lazima , kule kila kitu ni amri, tatizo pale mahabusu arusha ukiingizwa tu mahabusu wenzako wanakulazimisha kuoga. hilo ndo alilogoma
yesss. 👍🏿Amelaaniwa amtegemeae mwanadamu,amfanyae kuwa kinga yake kitabu cha Yeremia
Ushirikiano katika kuogeshwa?Ni kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Walianza kwa kumpaka sabuni. Sasa hivi hata akioneka mjini anajifanya mbabe watu wanajua tu........mh...Kwahiyo wamemuogesha sio
Una maana kwamba "alioshwa" na manyampara?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
TIME FOR ACTION!Ni kweli kabisa hakugoma 'KUOGA' ALIOGESHWA na akatoa ushirikiano wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TIME FOR ACTION!
[emoji28] View attachment 1810442