Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

Hii Dunia mafanikio yako ni watu na kufeli kwako ni watu. Ishi maisha ya kumpendeza Mungu.
 
Ondoa neno mh SABAYA, hakuna mh anaweza fanya Mambo ya kijinga Kama SABAYA ,vinginevyo neno mh ,tutakua tunalizalilisha
Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani.

Afande Mwanagwa amesema Ole sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani.

Source: Ayo tv

NI kweli.
ILA MTU yeyote anaweza akapelekwa kule.uwe na hatia au usiwe nayo.
Sio sehemu ya kufurahia MTU kupelekwa
kama unajuwa kutofautisha inzi wa kawaida na wale wanao kuwa sehemu yenye mzoga! hutapata shidaha hapa Duniani!!
wala hutosingiziwa chochote Mungu yupo na meneno huumba!
heshimu sana ukipandacho ndio utakacho vuna!
mwenda taratibu.....
 
Ushawahi kuingia jela au mahabusu?

Likikamatwa jambazi lililotaka kukuuwa ungependa lipelekwe wapi?
A: Nyumba za ibada likatubu.
B:Gerezani.
 
Back
Top Bottom