kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
yaani mimi nilishasema Mwalimu asije akamuumiza mtoto wangu kwa sababu yoyoye ile la sivyo mimi sitaenda kulalamika bali nitapelekwa jela…
Mwalimu wa madrasa alikua na ujinga huo huo wa kupiga watoto mpaka wanakuja wamevimba mikono kwa kumuheshimu niliamua watoto wakae nyumbani tu.
Mwalimu wa madrasa alikua na ujinga huo huo wa kupiga watoto mpaka wanakuja wamevimba mikono kwa kumuheshimu niliamua watoto wakae nyumbani tu.