Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Hivi Hizi Kesi huwa zinakuwa zina Ukweli au ni masuala ya Wanawake gold-diggers kuwapakazia Wanaume tuhuma ili Wanawake matapeli wa ndoa wapate nafasi za kupora Mali za Wanaume?
Kwa mali gani mnazomiliki wanaume wa kibongo?? Hiyo miboksa iliyotoboka au? 😹😹

Hii kauli yenu ya mali inanichekeshaga sana 🤣
 
Mimi ningekuwa ni Raisi watuhumiwa kama hawa ni kuwanyonga mara moja.

Kesi ikiisha mahakamani na ikathibitika umefanya kosa kama hili, natia saini yangu on the spot ukanyongwe.

Watu wa namna hii hawastahili kuishi hata kwa sekunde moja.
Mungu akujaalie uwe Rais tuone
 
Huyo Mzee naye alawitiwe kisha awekewe kitu kimuue kwa uchungu
 
Daaah 💔
giphy.gif
 
Hivi Hizi Kesi huwa zinakuwa zina Ukweli au ni masuala ya Wanawake gold-diggers kuwapakazia Wanaume tuhuma ili Wanawake matapeli wa ndoa wapate nafasi za kupora Mali za Wanaume?
wakati tukio linatokea baba wa mtoto alikuwa nyumbani ,na hapo nyumbani wanaishi watatu tu. baba,mama na mtoto. kwa hiyo mama anashikiliwa kwa mahojiano na uchunguzi zaidi
 
Watoto Sasa wataenda kuishi wapi hasa ambako watakuwa wapo salama????
Wapi sasa ni mahali salama kwa Watoto kuishi????
Kuna time inafikia mpaka ndugu mtu anaogopa yaani.

Hawa ma uncle wanaharibu watoto wadogo balaa.

Mtu akiwa na uwezo wageni wakae nje ya nyumba. Hakuna kulala ndani.

Watu wanaoongoza kuharibu watoto wadogo ni ndugu.
 
Nikisema wanaume hawana akili mnachongoa midomo mirefu km chupa..!!

Mwanaume km huyo ndo umuachie mtoto? Mwanamke ndoa ikikushinda beba na watoto wako, huyo kamlawiti mtoto wake na mkewe yupo, vipi ukimuachia haupo??
Ina maanisha hata wanawake wengine wanavyotupa watoto wadogo kwenye vyoo wanawake wote hawana akili ?

Vipi na yule mama wa kikenya aliyemkata kata mtoto wake mdogo na kumpika kwenye sufuria kama mboga ni wanawake wote mpo hivyo ?

Haya matukio ni ya kukemea na kulaani kwa nguvu zote na sio kuleta maswala ya jinsia hapa
 
Nikisema wanaume hawana akili mnachongoa midomo mirefu km chupa..!!

Mwanaume km huyo ndo umuachie mtoto? Mwanamke ndoa ikikushinda beba na watoto wako, huyo kamlawiti mtoto wake na mkewe yupo, vipi ukimuachia haupo??
100% sio mwanae huyo. Atakuwa kaletewa mtoto wa nje akiwa ndani ya ndoa.
 
Haafu anakuja mtu anasema Mungu yupo, Mambo yote yanapangwa na kuruhusiwa na Mungu.
Mimi nitakuwa wa Mwisho kuamini uwepo wa Mungu mwenye nguvu zote na upendo wote.
Kichanga kina Miezi 9 Mungu unaruhusu vipi ateseke na kufa kikatili kiasi hicho? Inafikirisha sana.
 
Back
Top Bottom