Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.

Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.

Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.

Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.

Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Tatizo la afya ya akili ni kubwa kuliko unavyo dhani.
 
Utajiri una siri Nyingi
 
Naona watu mnaanza kumtetea Kwa kusema ni ugonjwa wa akili hakuna kitu kama hicho Hilo amedhamiria na alijua anchofanya
Mnaujaga na maneno ya shombo kuhusu wanawake kumbe akili zenu ndo hizo
 
Haya matukio huwa yanaambatana na maagano ya kishetani. Maana mtu na na akili zako timamu hauwezi fanya hivyo kwa mwanao wa kumzaa. Labda uwe unatimiza masharti ya waganga.
Adhabu kali itolewe juu yake.
 
Naona watu mnaanza kumtetea Kwa kusema ni ugonjwa wa akili hakuna kitu kama hicho Hilo amedhamiria na alijua anchofanya
Mnaujaga na maneno ya shombo kuhusu wanawake kumbe akili zenu ndo hizo
Kwa hio we unahisi angekula. Witi wewe?
 
Back
Top Bottom