Oya kausha basi na hizo siasa... ccm ikufanye ubake kichangaWatu mnalalamika sana ila mnasahau kuwa haya yote yamesababishwa na CCM kutunyima Elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya kausha basi na hizo siasa... ccm ikufanye ubake kichangaWatu mnalalamika sana ila mnasahau kuwa haya yote yamesababishwa na CCM kutunyima Elimu
Kuna dhambi tunatenda, hata shetani anatushangaa 😳Asisingiziwe shetani sasa akamailizane na mahakama, Tunaitaji kuzikomboa jamii zetu kiffikra
Eti rungu. 🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo unaita utamu rungu wewe?🤣🤣🤣🤣🤣Wa kwake, hata asingekuwa wake hivi kwa akili zako timamu unaweza kumsokomeza rungu lako mtoto mchanga km huyo wa miezi 9??
Hatujazidi bwana. Tukiongelea ukatili dhidi ya watoto matukio ya wanawake ni mengi zaidi kuliko ya wanaume tena huwa ya wanawake ni ya kikatili na sio ya miaka hii no tokea miaka hiyo ya nyuma.Wanaume mmezidi, nyie mpk wanaume wenzenu mnawapanda hamuogopi..!!
Kama vile ambavyo wanawake mnapofanya mauwaji ya vichanga vyenu halafu mnasingizia kuwa ni kichaa cha uzazi kuna jina lake ngoja nilikumbuke hapa.Naona watu mnaanza kumtetea Kwa kusema ni ugonjwa wa akili hakuna kitu kama hicho Hilo amedhamiria na alijua anchofanya
Mnaujaga na maneno ya shombo kuhusu wanawake kumbe akili zenu ndo hizo
Hicho ni kipengele kingine kabisaa kichaa Cha mimba kipo ila Sasa hebu kama mtu mwenye akili timamu zenye kufanya kazi utawezaje kumuingilia mtoto wa miezKama vile ambavyo wanawake mnapofanya mauwaji ya vichanga vyenu halafu mnasingizia kuwa ni kichaa cha uzazi kuna jina lake ngoja nilikumbuke hapa.
Hapana si sawa.Ndo amfanyie hivo huyo mtoto
Mtu timamu anawezaje kumdhuru mtoto mchanga wa miezi 9?🤔Hicho ni kipengele kingine kabisaa kichaa Cha mimba kipo ila Sasa hebu kama mtu mwenye akili timamu zenye kufanya kazi utawezaje kumuingilia mtoto wa miez
Kama sio dishi kuyumba,itakuwa mambo ya kishwetani!Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.
Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.
Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.
Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Mganga nae akamatwe!Masharti ya waganga hayo ili Aipandishe NYOTA anaambiwa alale na mtoto mdogo ambaye hajavunja Ungo.
Sasa dereva wa daladala atafanya kitu gani ili awe Tajiri? Au alitaka afanye biashara?Inahuzunisha sana bila shaka ni masharti ya Mganga, tamaa ya utajiri wa harakaharaka unafanya baadhi ya Watu kufanya mambo ya kutisha ili wawe matajiri.
Aisee ni kweliNashauri kuanzishwe clinic ya afya ya akili na iwe lazima kwa kila mtu kupimwa kila baada ya miezi 6 ili kubaini watu wenye mwelekeo kama huu
Changamoto za akili zinamtuma kumuingilia mtoto? Hizo changamoto za akili zipo tu kwenye hisia za sex?? Kama ni changamoto za akili bas tuone akirusha mawe na kelele barabaran mbona zinakimbilia kwenye nanilii yake akiiiiiMtu timamu anawezaje kumdhuru mtoto mchanga wa miezi 9?🤔
Unajua wanawake mjifunze kutokuwa na double standards. Wanaume wanapofanya matukio huwa sioni mjadala wa kuchambua hali ya akili ya mkosaji huwa mnakwenda straight kumhukumu kuwa alikuwa amedhamiria na ni makusudi,swala la changamoto za kiakili huwa hamzigusii huwa mnapa mwanaume hatia on-site .
Nakumbuka hata yule jamaa wa kigamboni aliyechoma mkewe na magunia mawili ya mkaa. Wanawake lile tukio mkalichukulia kuwa kama jamaa aliamka tu akasema amchome mwanamke wake. Kumbe kuna mfululizo wa matukio nyuma ya pazia mwanamke alikuwa akimfanyia jamaa na ilifika point jamaa akamwambia mwanamke waachane mwanamke akamkatalia na kutaka waendelee kuishi kwa kufanyiana vibweka.
Huwa mnaukwepa ukweli ili kuridhisha nafsi zenu.
Sio vizuri.
Wanaume ndiyo wakatili sana kuliko wanawake ndiyo maana majela yote yamejaa wanawaume kuliko wanawake. Wanaume ndiyo wezi, wauaji, wakabaji, wabakaji, wavuta bhangi, wanyang'anyi, waporaji, panya road, wanakataa mimba, wanakataa watoto, wanatelekeza familia n.k.Mtu timamu anawezaje kumdhuru mtoto mchanga wa miezi 9?🤔
Unajua wanawake mjifunze kutokuwa na double standards. Wanaume wanapofanya matukio huwa sioni mjadala wa kuchambua hali ya akili ya mkosaji huwa mnakwenda straight kumhukumu kuwa alikuwa amedhamiria na ni makusudi,swala la changamoto za kiakili huwa hamzigusii huwa mnapa mwanaume hatia on-site .
Nakumbuka hata yule jamaa wa kigamboni aliyechoma mkewe na magunia mawili ya mkaa. Wanawake lile tukio mkalichukulia kuwa kama jamaa aliamka tu akasema amchome mwanamke wake. Kumbe kuna mfululizo wa matukio nyuma ya pazia mwanamke alikuwa akimfanyia jamaa na ilifika point jamaa akamwambia mwanamke waachane mwanamke akamkatalia na kutaka waendelee kuishi kwa kufanyiana vibweka.
Huwa mnaukwepa ukweli ili kuridhisha nafsi zenu.
Sio vizuri.
Labda alitaka aachane na udereva awe mfanyabiashara.Sasa dereva wa daladala atafanya kitu gani ili awe Tajiri? Au alitaka afanye biashara?