kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kama sio ukichaa, katumwa na mganga ili awe tajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya wanaume wanaofanya hivyo na ambao hatufanyi hivyo ndio wengi zaidiWanaume mmezidi, nyie mpk wanaume wenzenu mnawapanda hamuogopi..!!
Wanawake hata wakisagana hawana madhara, wakitaka kuzaa au kuolewa wanaweza kufanya hivyo…!!Idadi ya wanaume wanaofanya hivyo na ambao hatufanyi hivyo ndio wengi zaidi
Swali, Wanawake wanaosagana ? Wewe ni msagaji/msagwaji ? Huogopi ?
Mwanamke kukuachia mtoto wako ni ukatili??Hatujazidi bwana. Tukiongelea ukatili dhidi ya watoto matukio ya wanawake ni mengi zaidi kuliko ya wanaume tena huwa ya wanawake ni ya kikatili na sio ya miaka hii no tokea miaka hiyo ya nyuma.
Ukipewa visa vya mama mwenye mtoto wake ambaye amekataliwa au kukimbiwa na Baba mtoto baada au kabla ya kuzaa utabakia mdomo wazi.
Matukio ya wanawake kudhuru watoto ni mengi sana kulinganisha na wanaume. Hii nakwambia kama unabisha fuatilia.
Mbona hakuna sehemu nimesema mwanamke kumuachia baba mtoto wake?🤔Mwanamke kukuachia mtoto wako ni ukatili??
Kwahiyo ndio tiketi ya kuwalawiti coz amekuachia?? Ulitaka shahawa zako akulelee nani? 😹
Kesi Kama hii inahitaji akili kubwa, ukiingia kichwakichwa utakuta unahukumu kwa mihemko, na mtuhumiwa wa kweli unamuacha uraianiHivi Hizi Kesi huwa zinakuwa zina Ukweli au ni masuala ya Wanawake gold-diggers kuwapakazia Wanaume tuhuma ili Wanawake matapeli wa ndoa wapate nafasi za kupora Mali za Wanaume?
sasa Mungu hapo kosa lake nini? amekuumba na akili zote na wewe ndio unaamua kufanya hivyo kwa imani za kishirikina ili upate pesa. mlaumu shetani kwa sababu Mungu tayari amekuwekea njia sahihi za kupata utajiri na wewe unataka shortcut.Haafu anakuja mtu anasema Mungu yupo, Mambo yote yanapangwa na kuruhusiwa na Mungu.
Mimi nitakuwa wa Mwisho kuamini uwepo wa Mungu mwenye nguvu zote na upendo wote.
[emoji15][emoji20]Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.
Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.
Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.
Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Hv akili inapimwajwe?!Apimwe akili kwanza mengine yafuate, watu kama Hawa ilitakiwa jamii kuwashikisha adabu kabla ya kuwapeleka huko polisi
Rungu la kipepe 😹😹😹Eti rungu. 🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo unaita utamu rungu wewe?🤣🤣🤣🤣🤣
Namba .1Mbona za ndani nilizopata ni kwamba aliyepiga hilo tukio ni baba wa kambo, ndio maana wamewekwa ndani wote yeye na huyo demu wake...
Ila hapo issue kubwa ni:
1. Ushirikina au,
2. Ulevi wa kupitiliza au
3. Kama ni muarusha basi ni yale majando yao ya siri, kuna vitu wanawachanjaga huko, anakuwa kama amevikwa liroho flani. (mmasai na muarusha tofauti yao ni hapo kwenye jando.. mmoja anafanya kwa kificho sana, mwingine kwa uwazi tu)
Km yapi? Hivi mwanamke afanye ukatili asiripotiwe sababu ya jinsia yake??Mbona hakuna sehemu nimesema mwanamke kumuachia baba mtoto wake?🤔
Nimesema kuna matukio ambayo wanawake huyafanya kwa watoto na ni makali kupita maelezo ila huwa hayalipotiwi tu kwenye vyombo vya habari.
Inaonekana haya mambo yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuathiri ubongo wako,Wanawake hata wakisagana hawana madhara, wakitaka kuzaa au kuolewa wanaweza kufanya hivyo…!!
Vipi wewe ukidinywa na mwanaume mwenzio utaweza kutomber na kuzalisha? Huogopi? 😹
Pole sana, siku nyingine ukitaka kujibu kitu punguza mihemko sawa?? 😹😹Inaonekana haya mambo yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuathiri ubongo wako,
Sio rahisi kwa mtu timamu ambae yupo sawa gafla akaanza kuzungumzia mambo kama hayo.
Au una trauma ya kushuhudia mtu wako wa karibu kama Baba yako au kaka yako ama mumeo uliwahi kumfuma akifanyiwa hivyo ?
The coming of Jesus Christ is too nearMtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.
Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.
Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.
Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.
Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.
Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Nakwambia ukweli. Kama unahisi nakudanganya,kakae na askari wa dawati la jinsia halafu ukimaliza nenda kwa manesi wakupe ripoti za matukio. Utajionea uhalisia. Matukio mengi sana huwa yanaishia humo humo polisi na mahospitalini hayaletwi kwenye media.Km yapi? Hivi mwanamke afanye ukatili asiripotiwe sababu ya jinsia yake??
Zemanda kwa hili umeongea uongo.