Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Pole sana, siku nyingine ukitaka kujibu kitu punguza mihemko sawa?? 😹😹

Nimekushuhudia wewe shangazi 😜
Hujajibu swali, Mimi sipo hapa kuleta mipasho na mtu yoyote

Umewahi kumshuhudia Baba yako, Kaka yako au mumeo akiinamishwa ?
 
Kesi Kama hii inahitaji akili kubwa, ukiingia kichwakichwa utakuta unahukumu kwa mihemko, na mtuhumiwa wa kweli unamuacha uraiani

Hakika.

Huenda pengine huyo Mwanamke amepata Mwanaume mwingine ambaye anataka kumuoa lakini huenda Mwanamume huyo mpya amempatia sharti la yeye kutokuwa tayari kuoa Mwanamke ambaye tayari ana mtoto aliyezaa na mtu mwingine.
Kwa hiyo ameamua kutengeneza tukio hilo la Mauaji ya huyo Mtoto ili huyo Mwanamke apate Uhuru wa kuweza kuolewa tena na huyo Mwanamume mpya bila kikwazo chochote kile, kwa sababu mtoto atakuwa amekufa na mumewe wa Sasa atakuwa amefungwa kifungo Cha maisha jela/gerezani.

Uangalifu mkubwa wa hali ya juu unahitajika kwenye suala hili.
 
Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.

Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.

Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.

Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.

Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Naamini hata shetani amemshangaa huyo mzazi.
 
Watu wa kaskazini bado wako nyuma sana kama civilization, ni bado wanaishi kama wanyama pori hata akili zao pia. Kutoa uhai wa binadamu kwao sio kitu kikubwa. Ni highly unsophisticated na unreasonably aggressive. Hata iweje, huwezi kuta mambo kama hayo huku Dar na Pwani kiujumla. Yule mwingine nae kachoma kisu na kubaka binti wa 17.

They need exposure na kuchange culture yao nzima ili kuondoa huo unyani. Social Engineering itabidi iwe moja ya kipaumbele cha serikali.
 
Mtoto mwenye umri wa miezi 9 amelawitiwa na babake mzazi hadi kufariki dunia.

Tukio hilo limetokea katika kata ya Olasiti mtaa wa Olasiti kati wilaya ya Arusha mjini.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olasiti kati Bwana Bruno amethibisha kutokea kwa tukio hilo mtaani kwake na kusema kuwa marehemu ni ni mtoto wa kwanza kwenye familia hiyo, na kuwa baba wa marehemu ambae ndie mtuhumiwa alikuwa dereva wa daladala jijini hapa.

Wananchi wa mtaa huo wa Olasiti kati wamesikitishwa na tukio hilo katika mtaa huo na kudai ndio tukio la kwanza na la aina yake katika mtaa wao.

Jeshi la polisi tayari linamshikilia Baba na mama wa marehemu kwa mahojiano zaidi.

Wamama tuwe makini sana na wale tunaowaamini majumbani kwetu.
Changamoto za afya ya akili. Naye., kama ni mzima na amesukumbwa na ushirikina, alawitiwe hadi kufa.
 
Afya ya akili na ushirikina ambao msingi wake ni ufukara uliokithiri ni chanzo na ni tatizo kubwa.
Mama na baba mlevi - baba anamsahau mkewe kirabuni anafuka home anaanza kufanya ushenzi.

Mama anaachana na mumewe anamwachia kitoto cha chini ya miaka 6 baba asiyejitambua matokeo yake ndiyo haya.
 
mi huwaga najiuliza tu kitu kinmoja sipati jibu mtoto wa miezi 9 ni undu gani ambalo mwanaume anaweza kuingiza shughuri yake ikaingia mbona panakuwa padogo sana mi sielewagi kabisa anakuwa aliingizaje mpaka ikaingia
 
Hakika.

Huenda pengine huyo Mwanamke amepata Mwanaume mwingine ambaye anataka kumuoa lakini huenda Mwanamume huyo mpya amempatia sharti la yeye kutokuwa tayari kuoa Mwanamke ambaye tayari ana mtoto aliyezaa na mtu mwingine.
Kwa hiyo ameamua kutengeneza tukio hilo la Mauaji ya huyo Mtoto ili huyo Mwanamke apate Uhuru wa kuweza kuolewa tena na huyo Mwanamume mpya bila kikwazo chochote kile, kwa sababu mtoto atakuwa amekufa na mumewe wa Sasa atakuwa amefungwa kifungo Cha maisha jela/gerezani.

Uangalifu mkubwa wa hali ya juu unahitajika kwenye suala hili.
huyo mwanaume ambaye ni mpya kama anaweza kumuoa huyo mwanamke ambaye kama kweli ameua mtoto basi naye za kwake hazipo mbali maana mtu akisha kula nyama ya mtu kuacha ni nadra sana atapata mwanaume mwingine atafanya hivyohivyo
 
Ila miezi 9, mwanzo nilisoma vibaya nikajua miaka 9. Sasa miez tisa hata viungo havijajiunga vizuri
 
Hakika.

Huenda pengine huyo Mwanamke amepata Mwanaume mwingine ambaye anataka kumuoa lakini huenda Mwanamume huyo mpya amempatia sharti la yeye kutokuwa tayari kuoa Mwanamke ambaye tayari ana mtoto aliyezaa na mtu mwingine.
Kwa hiyo ameamua kutengeneza tukio hilo la Mauaji ya huyo Mtoto ili huyo Mwanamke apate Uhuru wa kuweza kuolewa tena na huyo Mwanamume mpya bila kikwazo chochote kile, kwa sababu mtoto atakuwa amekufa na mumewe wa Sasa atakuwa amefungwa kifungo Cha maisha jela/gerezani.

Uangalifu mkubwa wa hali ya juu unahitajika kwenye suala hili.
Hapo kaka, nimekuelewa vzur, kwasababu sio rahis Mwanaume abake katoto kadogo ka miezi 9, for what?
Wala hakuna uganga wa aina hio
 
Vitu vingine nafikiri ni masharti ya waganga ili mtu apate utajiri, kama ni nyege, mke yupo, Shivaz kupo..
 
Kwa mali gani mnazomiliki wanaume wa kibongo?? Hiyo miboksa iliyotoboka au? 😹😹

Hii kauli yenu ya mali inanichekeshaga sana 🤣
Subwoofer, smartphone, kitanda, godoro, ndoo, mashuka, sufuria, laptop, sofa na jaba, hizo sio mali mkuu Lamomy
 
Back
Top Bottom