Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

chuo cha makumira ni chuo cha kkkt kinafundisha madansa? nilidhani ni kupiga vyombo tu.ila pole sana mdada sijui ni shida gani ilitokea
 
R.I.P......inasikitisha sana

Ila siku zote binadam ndio wabaya.... waswahili wanasema wabaya watu.
 
Mkuu nini chanzo had ufanyiwe hiv binti wa watu inaumiza sana
Mavazi ya mtu au muonekano wa mtu haukupi wewe mamlaka hapa chini na mbiguni kutoa roho ya binadamu mwingine. Watu wanaua wenzao hapo TZ na wala hawanyongwi leo hii huyu binti amevaa nguo ya ufukweni ya heshima kabisa na mnahalalisha kifo chake kwa kumlaumu huyu dada. Nimesikitika sana na huu upumbavu kwa kweli. Hapa Marekani ukilala hata na mke wako kwa kumlazimisha akawaita polisi unashtakiwa kwa kurape. Na ni kifungo cha miaka zaidi ya 20.

Yaani moyo wangu unamajonzi kwa kweli huyu binti amekufa kifo cha kinyama kwa sababu ya mbwa mwitu nyamafu washenzi na watafia jela.
 
Akili za kinyang'anyau kabisa hizi

R.I.P ila cha msingi ni kuwa dada zetu wajiheshimu mavazi hatari sana hao washkaji wamekosea kuua ila wangebaka tu kutuoa fundisho
Hayo mavazi amevaa kulingana na mazingira, ni sawa na kupiga picha swimming pool ukiwa mapaja yote nje au uko na chupi tu
 
Muandiko wa kisabato kbs, asante kwa maneno mazur
 
Anavaa uchi hv aacha abakwe mshahara,wa dhambi ni mauti
Siku moja naombea vizazi vyako na ndugu zako wote wabakwe na ndio tuone utakacho sema we mbwa mwitu usiye na ustaarabu wa aina yoyote ile. Koma we shenzi kama ulivyo koma ziwa la mama ako. Ka lale uko na njaa yako. Pumbavu huna haya. Huwezi ukatoa kauli kama hiyo we fala.
 
kwa hizo picha juu huenda amegonganisha mabwana au kala hela za wanaume halafu anawakimbia sasa 40 zimemfikia
 
ase ni kitendo cha kinyama sana.apumzke kwa amani,dunia imebadilika sana nowadays jaman

Ndiyo imebadilika lakini kinacho niuma ni jinsi watu hapa jamii forum wanavyojaribu kumlaumu marehemu. Eti amevaa nguo za kimalaya. It never ok to take someone life under any circumstances.
 
Wanafunzi wa Makumira ndio Zao, Wanakuchuna Halafu Wanakukimbia, Ndio Wajifunze Sasa, Hakuna vya Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…