Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Damu yake itakaa vichwani mwao hadi wailipe kwa gharama ya maisha yao wote waliohusika. Nimesikitika sana
 
Mkuu watu kama hao tunawaombea pia kama sio watoto wao wa kike basi wadogo zao ama dada zao ama wake zao wafanyiwe kama alivofanyiwa huyo dada halaf uchungu watakaoupata tuone kama wataongea utumbo wanaouongea hapa. hawa feel chochote ni kama mashetani
 
Atakua katoka pwani huyo akangia Arusha kwa pupa' muwe makini wanafunz mnaotoka maeneo ya pwani wanume wa Ar- sio wakuwalia pesa zao alafu unaleta ujanja ujanja' POLENI WAFIWA- ombi langu kwa wazazi watoto wanapoenda kusoma jaribuni kuwatisha wasijiusishe na ngono kabisa
 
Mkuu hawa si watu hawa ni wanyama, Binadamu hawawezi kumfanyia unyama kama huu binadamu mwenzao hadi wamuue.

Mie nashangaa kwa kweli hatakama ni kisasi basi wange mbakishia tu uhai wake watu wanaroho ngumu
 
hizi ndio hasara za madada kuwa na mabwana wengi mwishowe ndo inakuwa hivyo si unaona hadi picha zake za uchi uchi
 
Mkuu hawa si watu hawa ni wanyama, Binadamu hawawezi kumfanyia unyama kama huu binadamu mwenzao hadi wamuue.
na nizaidi ya mashetani kwa kitendo hicho ninahisi lazima marehemu atakuwa alilalamika sana sijui hawakuingiwa na tone LA huruma au ndio walikuwa wameshavuta jani
 
Reactions: BAK
Kuna watu wanaweka conclusion na kumlaumu marehemu wakati habari yenyewe iko nusu, na haina sababu zilizopelekea hili tukio. Sio vizuri.

Hata hiyo picha ya marehemu iliyowekwa humu, ni udhalilishaji. Sio vizuri wakuu.
 
Reactions: BAK
ingekua dada yako ungetoa kauli za kipumbavu Kama izo.


Mkuu am speechless na baadhi ya kauli za humu, na kufikia mpaka kuweka picha ya marehemu. Ukizingatia huyu ni binadamu mwenzetu, na wote tunaelekea kumoja ila kwa njia tofauti.
 
Msiwe wa nafiki angalie alivyo ni kielelezo tosha kubakwa kwake ni mazingira yake aliyojijengea.
Unapita mazingira hatarishi usiku na viguo vya maajabu unategemea nini
 
Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa
 
Mkuu am speechless na baadhi ya kauli za humu, na kufikia mpaka kuweka picha ya marehemu. Ukizingatia huyu ni binadamu mwenzetu, na wote tunaelekea kumoja ila kwa njia tofauti.
Kufa ni kufa tu cha msingi wanawake mjiheshimu mnatembea uchi mnategemea nini mnawapa mitihani migum wanaume?

Zishikeni amri za Bwana mtapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…